Mnyisanzu nimetoka kifungoni, hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeee

Ban inauma sana. Sasa nimerudi tena jamvini. Oyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Erickb52, maisha ya Segerea yana unafuu mno kuliko ban.
 
karibu, ila usirudie tena..hope unakijua kilichokupa ban!
Happy easter....
 
Siyo wewe tulikutana kwenye kikao cha harusi ukawa unalalamika ulipigwa burn unamalizia kifungo? Pole sana kweli uliumia sana
 
Smiling S, nilifungua ID mpya nyingi sana, nikapigwa server ban!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom