Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,619
Na akishinda unatuahidi nini?unataka!atashinda,hautaki!atashinda,utaikumbuka sentesi hii MUNGU akituweka hai 2015Naona tunamtetea sana Mnyika kiasi kwamba akiguswa tu na issue za jimbo lake basi tubakuja juu kwamba hiyo ni kazi ya serikali. Sasa kama ni hivyo kwa ninin kwenye kampeni zake za 2010 alijinadi kwamba atahakikia huduma ya maji na barabara zitaboreshwa? Ona sasa huku kwetu Bonyokwa hakuna cha maji wala barara halafu bado mnataka tujisifu eti tuna mbunge machachari? No way. Bila maji na barabara asahau kabisa 2015.