Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Naona tunamtetea sana Mnyika kiasi kwamba akiguswa tu na issue za jimbo lake basi tubakuja juu kwamba hiyo ni kazi ya serikali. Sasa kama ni hivyo kwa ninin kwenye kampeni zake za 2010 alijinadi kwamba atahakikia huduma ya maji na barabara zitaboreshwa? Ona sasa huku kwetu Bonyokwa hakuna cha maji wala barara halafu bado mnataka tujisifu eti tuna mbunge machachari? No way. Bila maji na barabara asahau kabisa 2015.
Na akishinda unatuahidi nini?unataka!atashinda,hautaki!atashinda,utaikumbuka sentesi hii MUNGU akituweka hai 2015

Katika wabunge vijana wa CHADEMA, Mbunge Mnyika huwa anani-impress sana kwa kutumia akili katika hoja zake nyingi.

Hata hivyo sasa mambo inaelekea yanamwendea vibaya jimboni kwake Ubungo, kwa kushindwa kuutafuna mifupa mikavu uliyowasambaratisha wabunge wengi wa eneo hilo-tatizo la maji na miundo mbinu Ubungo.

Waziri Kabaka , Waziri wa Kazi na Ajira, amemrushia madongo mazito Mbunge John Mnyika kwa kushindwa kwake "kuona ndani" katika kulitatua tatizo hilo. (ref Mwananchi 6/11/2012, pg 8)

Waziri Kabaka amedai kuwa Mnyika amekuwa akitumia muda mwingi katika siasa za Bunge kuliko kutatua matatizo ya wananchi wa Ubungo.

Katika kusaidia kutatua matatizo ya Ubungo Waziri Kabaka ameahidi kumwona waziri mwenziwe wa Maji na ili alitazame tatizo la maji Ubungo na kulitatua.

Anachosema Waziri Kabaka kina mantiki kubwa, Mnyika inabidi ajipange na kuwa na uhusiano mzuri na "magamba" wanaoendesha wizara zinazomgusa kiutendaji jimboni kwake.

Uchaguzi si mbali, na jimbo la Ubungo ndio hilo, wengi wanalikodolea macho.

Tunapaswa kutambua (endapo kama atufahamu au makusudi tunataka kupindisha ukweli) Mwakilishi wa wananchi Bungeni ni jukwaa moja kwake la kutenda kazi likifatiwa na Halmashauri husika. Hivyo tunapaswa kupitia hansards na kupima nini jitihada za Mwakilishi tajwa (Mnyika) katika suala mathalani la Maji katika chombo hicho cha kimaamuzi.

Lakini pia jitihada za dhati nje ya bunge mathalani kuwaunganisha wananchi na kuisukuma mamlaka na taasisi husika na tatizo hilo kama vile ambavyo alipata kufanya kwa kuungana na wananchi mpaka katika ofisi za DAWASCO/DAWASA. Kuitisha kongamano la Maji Jimbo la Ubungo nk

Hakika tusikubali wawakilishi wale ambao wanatoa pesa zao mfukoni kutatua kero za wananchi kuwa ndiyo kigezo bora za uwakilishi. Ni wangapi watakuwa na fedha za kutosha kutatua kila kero kwa pesa zao za mifukoni? Wanapesa kiasi gani hao? wamezipataje?

Jukumu kuu na lenye tija ni kuhakikisha mifumo inafanya kazi; hivyo Bunge kuiwajibisha serikali kutekeleza vyema ahadi na mikakati yake ambayo kwayo wananchi watanufaika kwa mapana.

Pia ni jukumu la wananchi kuibana serikali kwa njia mbalimbali kutatua kero zao kwani wao ndiyo roho ya serikali kwa kodi zao mbalimbali wanazozilipa ndizo jeuri ya serikali. Hivyo asilani abadan serikali haipaswi kuzipa kisogo kero za wananchi na kutegemea wahisani. Kwani mpaka sasa ukirejea nyaraka na ripoti zaidi ya asilimia 60 ya miradi ya Maji Tanzania inawezeshwa kwa nguvu za wahisani. Serikali hata ile kidogo ambacho imekwisha kipanga na kuazimia aifikishi kwa wakati.

Tunaweza kufanya kosa kuu kwa kudhania kumuondoa Mnyika ndipo tutakuwa tumemwadabisha. Tendo hilo litakuwa la kuturudisha nyuma zaidi wananchi na hasa katika kupata watetezi kuliko hata kuwekeza nguvu zaidi kuwaelimisha ndugu zetu na jamaa katika majimbo mengine kuchangua wawakilishi makini! Kuchagua wawakilishi ambao watakuwa kweli sauti ya umma, sauti ya wanyonge wenye kuweza kusimamia na kuthubutu kwa maslahi ya wananchi.
 
Mnyika 2012 Tutakuongezea Madiwani Na Halmashauri ili umalize kabisa Mateso haya tunayoletewa na CCM

Hili ndilo suala la kuwekwa zaidi mkazo na msisitizo. Kuna haja kuu ya kuhakikisha kuna kuwa na idadi ya madiwani wa kutosha katika Halmashauri ya Kinondoni (na si Jimbo la Ubungo pekee).Kwa kupata madiwani wa kutosha ndipo baadhi ya maamuzi yasiyo ya tija hayatapita kwa kigezo cha wingi wa kura kutokana na idadi kubwa ya madiwani kuwa wa chama fulani. Ni muhimu kuwa na halmashauri ambazo zipo katika uwiano mzuri wa uwakilishi wa vyama kuwezesha kutoelemea maamuzi kwa chama fulani tena hususan chama tawala ambacho kimeshaonyesha nyakati nyingi kutumia ubabe na hata maelekezo ya nje ya vikao kufanya maamuzi bila kuzingatia tija kwa wananchi.
 
Tunapaswa kutambua (endapo kama atufahamu au makusudi tunataka kupindisha ukweli) Mwakilishi wa wananchi Bungeni ni jukwaa moja kwake la kutenda kazi likifatiwa na Halmashauri husika. Hivyo tunapaswa kupitia hansards na kupima nini jitihada za Mwakilishi tajwa (Mnyika) katika suala mathalani la Maji katika chombo hicho cha kimaamuzi.

Lakini pia jitihada za dhati nje ya bunge mathalani kuwaunganisha wananchi na kuisukuma mamlaka na taasisi husika na tatizo hilo kama vile ambavyo alipata kufanya kwa kuungana na wananchi mpaka katika ofisi za DAWASCO/DAWASA. Kuitisha kongamano la Maji Jimbo la Ubungo nk

Hakika tusikubali wawakilishi wale ambao wanatoa pesa zao mfukoni kutatua kero za wananchi kuwa ndiyo kigezo bora za uwakilishi. Ni wangapi watakuwa na fedha za kutosha kutatua kila kero kwa pesa zao za mifukoni? Wanapesa kiasi gani hao? wamezipataje?

Jukumu kuu na lenye tija ni kuhakikisha mifumo inafanya kazi; hivyo Bunge kuiwajibisha serikali kutekeleza vyema ahadi na mikakati yake ambayo kwayo wananchi watanufaika kwa mapana.

Pia ni jukumu la wananchi kuibana serikali kwa njia mbalimbali kutatua kero zao kwani wao ndiyo roho ya serikali kwa kodi zao mbalimbali wanazozilipa ndizo jeuri ya serikali. Hivyo asilani abadan serikali haipaswi kuzipa kisogo kero za wananchi na kutegemea wahisani. Kwani mpaka sasa ukirejea nyaraka na ripoti zaidi ya asilimia 60 ya miradi ya Maji Tanzania inawezeshwa kwa nguvu za wahisani. Serikali hata ile kidogo ambacho imekwisha kipanga na kuazimia aifikishi kwa wakati.

Tunaweza kufanya kosa kuu kwa kudhania kumuondoa Mnyika ndipo tutakuwa tumemwadabisha. Tendo hilo litakuwa la kuturudisha nyuma zaidi wananchi na hasa katika kupata watetezi kuliko hata kuwekeza nguvu zaidi kuwaelimisha ndugu zetu na jamaa katika majimbo mengine kuchangua wawakilishi makini! Kuchagua wawakilishi ambao watakuwa kweli sauti ya umma, sauti ya wanyonge wenye kuweza kusimamia na kuthubutu kwa maslahi ya wananchi.
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja na hoja yako juu ya swala hili na mbuge wetu kijana Mnyika.
Ni kweli kabisa mbunge hana pesa yake kuwekeza katika miradi mikubwa kama maji , miradi ambayo kimsingi inahitaji fedha nyingi sana kuitekeleza.

Lakini kama ulkivyosema ni ukweli usiopingika kwamab nguvu ya mbunge ni hoja na mahusiano ya moja kwa moja na walioko serikalini, ili mriadi hiyi iweze kutekelezwa.
Mwanasiasa mwenye kuweka presha pamoja na mahusiano mazuri na watekelezaji(ambao ni serikali yenyewe) goes a long way kutatua matatizo ya wananchi wake.

In that respect Mnyika has got much to learn, kuwa siasa si kejeli wala matukano, na bado ukategemea mtu yule yule "akusaidie" na tatizo lako.

In actual fact you lose nothing by having a diplomatic approach to problem solving, na ndio maana namsifu Mbowe kwa kuliona hilo, maana kwenye jimbo lake barabara zinajengwa.
 
awaulize watu wa segerea na kinyirezi wana maji!!?hili tatizo la maji ni la dar es salaam mzima kasoro oysterbay na masaki ndo wenye maji tu.mji mzima maji yanaweza kosekana lakini obey unakuta maji yanatoka.so Mnyika anatetea dar nzima sio ubungo tu>.
 
swali kwa mleta mada"unaweza kuyaweka wazi mafanikio ya mnyika katika jimbo la ubungo?"kwa sababu nijuavyo mimi kua kila jimbo lina kero nyingi na hivi utatuzi wake lazima uwe kwa awamu,sasa utakua muungwana sana kama utatupatia mafanikio ya ubungo chini ya uwakilishi wa mnyika baada ya hapo tutajifunza kitu tusiwe wepesi wa kumlaumu mtu bila kujua ni mchango wa huyo mtu kwa sababu kutokana na system za serikali zilivyo mwakilishi anaweza kuwa mzuri lakini akakwamishwa na serikali.....watch out mleta mada.
 
Uatilia ahadi zake wakati wa kampeni za uchaguzi, mpime kwa hilo na maji ni moja wapo.
 
Wewe hujajua hoja ya Mnyika dhidi ya magamba!Kama Mnyika atakosa kura kwa sababu ya maji ,itakuwaje kwa chama tawala ambacho mwenyekiti wake ndiye rais aliyotoa ahadi hiyo hiyo?Maji yewepo,yasiwepo CCM will celebrate its DEATH DAY kwa kupenda au kwa lazima....
 
Jambo la pili,nchi hii imeharibika kwa mi-CCM kuendekeza u-jimbo ndo maana wabunge wao wengi hawaijui Tanzania!Ndo maana wakipewa uwaziri hushindwa kutatua matatizo ya watu maana hawayajui..Wabunge wa CDM ni wa kitaifa ndo maana Mnyika na wenzake wanachangia hoja za kila wizara tofauti na magamba yanayosubiri lile tu linalohusu majimbo yao...Mnyika yuko juu!
 
Kwa hiyo unamaanisha serikali ya CCM haijui kwamba watanzania wanahitaji maji safi na salama?C mnajifanya kuwa na masikio?Leta maji Ubungo na kama hamleti itaendelea kula kwenu 2015 maana kwa tatizo la maji,Ubungo kwa Mnyika wa CDM ni bora kuliko Segerea kwa "DKT.MAHANGA" wa CCM.
 
Amin nawaambia wakazi wa ubungo BA vitongoji vyake hadi tabata mkiichagua ccm chini ya nape nauye Maji wiki ya kwanza mnaogelea msirudie makosa
 
wewe hujajua hoja ya mnyika dhidi ya magamba!kama mnyika atakosa kura kwa sababu ya maji ,itakuwaje kwa chama tawala ambacho mwenyekiti wake ndiye rais aliyotoa ahadi hiyo hiyo?maji yewepo,yasiwepo ccm will celebrate its death day kwa kupenda au kwa lazima....
manure!
 
Kumbe unajua kuwa Mnyika anafanya kazi yake barabara ila shida yenu ni kwamba hajashiriki UNAFIKI wa KUNGANTA NA KUPULIZA. Kama inalazimu kumsifia 'dhaifu' ili tupate maji, mimi mwananchi wa kwanza wa Ubungo kuridhia kutokuwa na maji kuliko kumpigia magoti shetani.

Kama mlifikiri tulimtuma Mnyika kwenda kunyenyekea kwa mabwana zenu tambueni Ubungo sio Igunga, tunaona na tunazingatia. Anayetukwamisha tunamjua na 2015 ni mwisho wake.

Hao ma bimkubwa mnaowapigia chapuo Ubungo 2015 muwaandalie dawa za presha. Nafikiri mmeona aliyepita ni nini kilimkuta. Kwa taarifa yako, amefilisika kwa kuhonga na kuendesha kesi. Haya huyo Kabaka anakaribishwa Ubungo, jimbo la Wasomi tusiotumia hirizi.

Kwa maneno mengine wanataka Mnyika awape 'rushwa ya sifa' ndio wapeleke maji Ubungo! Huo mfano wa Mbowe ni mbovu kwa sababu, kama alitoa sifa, alizitoa baada ya barabara kujengwa na sio kabla. Nina hakika kama serikali itafanya juhudi ya kutatua tatizo la maji Ubungo, na yakapatikana, Mnyika hatasita kumshika 'dhaifu' bega na kusema 'thats ma' boy'. Sasa maji hakuna bado mnataka mlambwe masaburi kwanza! Hell no!
 
kilaza/DHAIFU ume mpima?au we umeona maji tu ubungo?
Kwa hiyo mnalalamika nini?

Endeleeni kumwita JK dhaifu kama mbunge wenu, halafu muombe tu mvua zinyeshe ili mpate maji ya msimu.

Na kwa mtaji huu JK kisha sema atakabidhi nji hii kwa mwana CCM mwaka 2015.
Wakati wote huu ombeni mvua.
 
Back
Top Bottom