Mnyika naye awaita CCM panya

Kumzungumzia Makamba nyumbani kwao kwa stahili hiyo... inaonyesha imaturity ya kijana kwenye siasa.
 
Mwaga ushauri wako wa kikubwa na labda useme ungalipenda aseme nini nyumbani kwa Makamba ndipo aonekane kwamba ni Mature .
 
si ndo maana CCM itashinda tena uchaguzi huku bara,Maana upinzani wenyewe wanawaamini akina mnyika, so what do u expect dude?

Mkuu CCM kushinda bara si kwamba wanashindakwa kupendwa wewe unajua vyema so usitake kuhalalisha kwamba wanashinda kwa sera . Kama ni wakweli wanataka kura za haki wabadilishe Katiba Tume ya Uchaguzi iwe ya wote hapo ndipo utajua kwamba wapinzani wa maana wanafanya kazi kubwa na si wa hovyo hovyo . Pamoja na kutumia misemo hiyo mara zote Chadema wanasema majukwaani watafanya nini wakichukua Nchi na pia huwapa elimu ya uraia watanzania waamke . Sasa kiini cha statement yako na uhalali wake ni upi kaka naomba nifungue macho kidogo
 
- Mkuu jifunze kujadili hoja bila personal, mbona mara ya miwhso uliomba radhi si unajua kua ninaweza kujibu kwenye hiyo level pia, si unajua kwua sidanganyiki na hiyo rangi yako au nijibu? au unataka tuongelee ujambazi in the real sense yaani nani ndiye na nani siye?

- Ninasema hivi kuita wengine paka au panya hailisaidii hili taifa on anything, ila inaonyesha tu uwezo wa viongozi wetu wa siasa ulipo na kwamba ni kwa nini hatuwezi kwenda popote tutaishia yale yale ya Yanga na Simba, kelele ubingwa wa Africa hakuna,

- Mimi sio panya na siamini kwamba wewe ni paka na siamini kwamba kuna kiongozi yoyote wa taifa hili ambaye ni paka au panya, kama huna hoja tulia mkuu lakini acha name calling, hoja zangu ziko very clear kwamba taifa halinufaiki kabisa na this kind of politics na si kweli kwamba CCM itashindwa uchaguzi kwa sababu ya hizi name calling, ni waste of wananchi's valuable time hasa on the CCM's kujiingiza kwenye this kind of politics!

- Halafu mwananchi au kiongozi mwenye akili timamu huwezi kutumia maneno ya Makamba as a standard for anything worthy kwa taifa, sio siri kwamba Makamba anawakilisha kikundi flani kidogo sana huko Magogoni, ambao wanaamini kwamba kila anayewakosoa ni kwa sababu either aligombea urais akakosa, au simply ana chuki na wivu sasa nilitegemea wananchi wote wa taifa hili tutamuomba Mungu wetu atusamehe dhambi ya kuwapa hawa madaraka, maana tutawaambia nini watoto na wajukuu zetu?

- I mean wananchi wote tunahangaika na umasikini halafu somebody analeta maneno ya panya na paka, that is insane! Somebody has to step na kuonyesha njia hapa! Badala ya kuyafanya maneno shallow ya Makamba as a standard katika siasa zetu!

Respect.

FMEs!

Mkuu taifa linanufaika na lipi maana wanasiasa tena wanaoongoza ndio wanaita wenzao mapaka; au mkuu ushabiki umezidi kiwango na sasa nihasira tu na hoja unailazimisha; acha ubishi; wala huwezi kupima level ya understanding ya mtu through forums but for what you accomplish; maana hata kama Chadema haitawaita CCM mapanya bado siasa hazina manufaa au wewe uko anga nyingine mkubwa
 
- Mkuu jifunze kujadili hoja bila personal, mbona mara ya miwhso uliomba radhi si unajua kua ninaweza kujibu kwenye hiyo level pia, si unajua kwua sidanganyiki na hiyo rangi yako au nijibu? au unataka tuongelee ujambazi in the real sense yaani nani ndiye na nani siye?

- Ninasema hivi kuita wengine paka au panya hailisaidii hili taifa on anything, ila inaonyesha tu uwezo wa viongozi wetu wa siasa ulipo na kwamba ni kwa nini hatuwezi kwenda popote tutaishia yale yale ya Yanga na Simba, kelele ubingwa wa Africa hakuna,

- Mimi sio panya na siamini kwamba wewe ni paka na siamini kwamba kuna kiongozi yoyote wa taifa hili ambaye ni paka au panya, kama huna hoja tulia mkuu lakini acha name calling, hoja zangu ziko very clear kwamba taifa halinufaiki kabisa na this kind of politics na si kweli kwamba CCM itashindwa uchaguzi kwa sababu ya hizi name calling, ni waste of wananchi's valuable time hasa on the CCM's kujiingiza kwenye this kind of politics!

- Halafu mwananchi au kiongozi mwenye akili timamu huwezi kutumia maneno ya Makamba as a standard for anything worthy kwa taifa, sio siri kwamba Makamba anawakilisha kikundi flani kidogo sana huko Magogoni, ambao wanaamini kwamba kila anayewakosoa ni kwa sababu either aligombea urais akakosa, au simply ana chuki na wivu sasa nilitegemea wananchi wote wa taifa hili tutamuomba Mungu wetu atusamehe dhambi ya kuwapa hawa madaraka, maana tutawaambia nini watoto na wajukuu zetu?

- I mean wananchi wote tunahangaika na umasikini halafu somebody analeta maneno ya panya na paka, that is insane! Somebody has to step na kuonyesha njia hapa! Badala ya kuyafanya maneno shallow ya Makamba as a standard katika siasa zetu!

Respect.

FMEs!

Mkuu taifa linanufaika na lipi maana wanasiasa tena wanaoongoza ndio wanaita wenzao mapaka; au mkuu ushabiki umezidi kiwango na sasa nihasira tu na hoja unailazimisha; acha ubishi; wala huwezi kupima level ya understanding ya mtu through forums answers but for what you/he/she accomplishes; maana hata kama Chadema haitawaita CCM mapanya bado siasa hazina manufaa wala hatunufaiki au wewe uko anga nyingine mkubwa; uko TZ kweli wewe maana ndio level ya siasa; chadema wameenda level ya uelewa; nyie wasomi ndio mmejaa dar hata hamjaipa kura so heri waende huko ambako level ndio hiyo na makamba aitwe panya at the end wachukue kuliko kusubiria criticism zako za kwenye PC mpaka mgongo unakuuma na kura hupigi; does not make sense; Mnyika has make sense
 
Malundi umenikuna na hasa baada ya kupima uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulivyo pita wajanja waote wanao jua ukweli wako Dar lakini CCM imeshindwa bila kutokwa jasho hakika hapa umesema .
 
Mkuu taifa linanufaika na lipi maana wanasiasa tena wanaoongoza ndio wanaita wenzao mapaka; au mkuu ushabiki umezidi kiwango na sasa nihasira tu na hoja unailazimisha; acha ubishi; wala huwezi kupima level ya understanding ya mtu through forums answers but for what you/he/she accomplishes; maana hata kama Chadema haitawaita CCM mapanya bado siasa hazina manufaa wala hatunufaiki au wewe uko anga nyingine mkubwa; uko TZ kweli wewe maana ndio level ya siasa; chadema wameenda level ya uelewa; nyie wasomi ndio mmejaa dar hata hamjaipa kura so heri waende huko ambako level ndio hiyo na makamba aitwe panya at the end wachukue kuliko kusubiria criticism zako za kwenye PC mpaka mgongo unakuuma na kura hupigi; does not make sense; Mnyika has make sense

- Mkuu pole sana, ila kujibu hoja za mapaka na mapanya za Makamba kwangu ni kuonyesha uwezo wa siasa ulionao kwamba hauvuki wa Makambana hakuna mwanachi wa Tanzania anyeweza kunufaika na siasa low kama hizo za Makamba's level,

- Sasa inasikitisha sana wanapotokea Great Thinkers wa kuhalalisha siasa za Makamba, ni aibuuu! Mniyka na Chadema walipaswa kuwa bigger than Makamba!

Respect.

FMEs!
 
FMES

Huo ni uamuzi wako i.e. personal choice

Kama Makamba aliamua kufuga panya basi Paka wako ready ku-deal na hao panya. Sijui ni lini nilikuomba radhi na kwa sababu gani, kilicho mezani ni Mkamba kuita wenzake Paka sasa ni zamu ya panya kukimbilia uchochoroni
Mnyika nakupa tanomanake hapa umemuweka Makamba panapotakiwa, hapo itabidi panya wasakwe hadi waishe Tanzania maana wako wengi. Chama kilichojaa Majambazi hakiwezi kukubalika Tanzania. Typical of Mkamba type aanze kukimbilia kwenye vichochoro.
 
Hizi type of politics ndizo zimezaa EPA, Richimonduli, Dowans etc. sasa kwa nini zisisakwe kama panya?

BTW hakuna aliyesema FEMS ni panya.

- CCM ni mapanya na tunaowachagua wote for the last 47 years ni mapanya zaidi kuliko hata Makamba na Mnyika. Bwa! ha! ha!

Respect.

FMEs!
 
FMEs

Mbona habari yenyewe unazungumzia hicho unachokitaka? Amesema kwamba kuna uongozi mbovu unaotafuana fedha za umma kupitia ufisadi kama panya. Hivyo amewataka wananchi wachague upinzani ili wawe kama panya wa kuwasaka hao mafisadi na kuwaondoa ili kuleta maendeleo

serayamajimbo

- Makamba ameita upinzani mapaka na Mnyika kajibu CCM ni mapanya, kama ni wizi unafanyika pande zote mbili uliza Kafulila na Wangwe RIP, siasa za mapanya na mapaka ni too low kujadiliwa hapa kwenye Great Thinkers, just low na ni Makamba type!

Respect.

FMEs!
 
- makamba ameita upinzani mapaka na mnyika kajibu ccm ni mapanya, kama ni wizi unafanyika pande zote mbili uliza kafulila na wangwe rip, siasa za mapanya na mapaka ni too low kujadiliwa hapa kwenye great thinkers, just low na ni makamba type!

respect.

fmes!

fmes...
Achana na mnyika,
he is too immature kwenye siasa..
He think anaweza kumfikia zitto,
ana personal issues zinamsumbua.
Wewe boxing day
ulipata lile box nililokutumia??????
 
- Makamba ameita upinzani mapaka na Mnyika kajibu CCM ni mapanya, kama ni wizi unafanyika pande zote mbili uliza Kafulila na Wangwe RIP, siasa za mapanya na mapaka ni too low kujadiliwa hapa kwenye Great Thinkers, just low na ni Makamba type!

Respect.

FMEs!

FMES
Vip tena kaka? Unajua siasa ni sanaa? Unachokikataa si ndo unakiendeleza?

Kafulila na wenzake hawawezi kudhibitisha hilo unalotaka wewe na Makamba kuhalalisha.
 
Hakuna cha kushangaza hapa maana makamba ndio tabia yake na Mnyika amefanya vizuri kusema CCm ni Mapanya
 
- What is good hapo kwa wananchi na taifa, kama CCM ni panya basi ina maana wananchi wote wa Tanzania tuna something wrong kuweza kutawaliwa na Panya for 47 years na bado tunawachagua!

Respect.

FMEs!
ndio wananchi wote wa TZ tunamatatizo makubwa, unadhani ni sahihi kutawaliwa na chama kimoja kwa miaka 47 bila maendeleo.
labda waTZ tupelekwe kenya tukajifunze
 
- Mkuu pole sana, ila kujibu hoja za mapaka na mapanya za Makamba kwangu ni kuonyesha uwezo wa siasa ulionao kwamba hauvuki wa Makambana hakuna mwanachi wa Tanzania anyeweza kunufaika na siasa low kama hizo za Makamba's level,

- Sasa inasikitisha sana wanapotokea Great Thinkers wa kuhalalisha siasa za Makamba, ni aibuuu! Mniyka na Chadema walipaswa kuwa bigger than Makamba!

Respect.

FMEs!

mkuu inaonekana wewe hujasoma hii habari au kama umesoma basi kwa maksudi kabisa umeamua kushikilia neno panya tuu.
mnyika ametumia neno panya kama msemo
amewafananisha ccm na panya wanaotafuna misaada na inahitajika paka wengi ili kuwatafuna panya. kwa kiswahili cha bila msemo ni kwamba ccm wanatafuana misaada kwa hiyo inahitaji viongozi wengi wa upinzani ili kuweza kuzuia hayo. lakini wewe umeng'ang'ania panya panya, kung'ang'ania neno panya peke yake ni more cheap than mnyika kutumia neno panya

hongera mnyika msg sent....
 
FMES
Vip tena kaka? Unajua siasa ni sanaa? Unachokikataa si ndo unakiendeleza?

Kafulila na wenzake hawawezi kudhibitisha hilo unalotaka wewe na Makamba kuhalalisha.

- Siasa ikiwa sanaa maana yake tunaongozwa na wasanii, does that makes sense to you? maana siamini kwamba Dr. Slaa ni msanii!

Respect.

FMEs!
 
ndio wananchi wote wa TZ tunamatatizo makubwa, unadhani ni sahihi kutawaliwa na chama kimoja kwa miaka 47 bila maendeleo.
labda waTZ tupelekwe kenya tukajifunze

- What difference does it make, kama CCM ni mapanya it is simply clear kwamba tumetawaliwa na mapanya for the last 47 years, sasa what does this say kuhusu sisi wapiga kura na hizi line za mapaka na mapanya?

- Labda kama ulivyosema twende Kenya wakatufundishe namna ya 50% ya ardhi taifa lao inavyoweza kumilikiwa na familia ya Kenyatta, huku wananchi walalhoi wakilala kwenye ma-box mitaani!

Respect.

FMEs!
 
mkuu inaonekana wewe hujasoma hii habari au kama umesoma basi kwa maksudi kabisa umeamua kushikilia neno panya tuu.
mnyika ametumia neno panya kama msemo
amewafananisha ccm na panya wanaotafuna misaada na inahitajika paka wengi ili kuwatafuna panya. kwa kiswahili cha bila msemo ni kwamba ccm wanatafuana misaada kwa hiyo inahitaji viongozi wengi wa upinzani ili kuweza kuzuia hayo. lakini wewe umeng'ang'ania panya panya, kung'ang'ania neno panya peke yake ni more cheap than mnyika kutumia neno panya

hongera mnyika msg sent....

- Makamba kasema paka, na wewe mkombozi wetu Mnyika unajibu panya, sasa nani hapa mwenye akili kuliko mwingine?

- Inasikitisha sana! hili taifa!

Respect.

FMEs!
 
..kuna wapiga kura wa aina nyingi sana na vyama vya upinzani vinapaswa kuhakikisha vinawafikia wote kwa namna moja au nyingine.

..kuna wapiga kura wanaopenda hii mipasho na vijembe kama vya kina Makamba. sasa sioni tatizo la Mnyika kuamua kujibu ili kuwafikia wapiga kura wanaopenda mipasho.

..kuna wapiga kura wanaopenda mapambano dhidi ya ufisadi, hawataki kusikia jambo lolote lile but ufisadi. mwanasiasa makini lazima ahakikishe anawafikia wapiga kura hao.

..kuna wapiga kura wanao-respond vizuri sana kwa ahadi kubwa-kubwa hata kama ni za uongo.

..kwa kifupi kuna makundi mengi sana ya wapiga kura, na ili ufanikiwe ktk vita vya kisiasa lazima uhakikishe kwamba you have the right balance in your approach and campaign.

..binafsi sipendelei siasa za mipasho-mipasho, Makamba type, but in this particular incident, I will be a little linient kwa Mnyika, kwasababu yeye amerudisha mashambulizi. Mnyika hakuanzisha hii name calling kati ya Chadema na CCM.

..hizi siasa za kuitana majina na mipasho-mipasho kama tunataka kuwa fair ktk kupambana nayo bora tukaanza kuwashika mashati CCM. hii ni tabia ambayo imejengeka sana kwa viongozi wa CCM. mfano mmoja wapo ni Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi ambaye aliwahi kuwafananisha wana CUF kama vijibwa vya santuri.
 
- Unahangaika bure tu na huko kubadilika badilika na kujipa thanks mwenyewe, Tanzania haiwezi kukombolewa na siasa za mapaka na mapanya, tutakombolewa na wale watakaonyesha uwezo wa kufikiri ulio tofauti na wa kina Makamba, until then tutaendelea kuznguka zunguka hapa hapa huku tuikwekewa agenda za mapaka na mapanya na mazumbukuku kama Makamba,

- Kiongozi shupavu na mwenye vision, huonyesha njia na wengine hufuata, sasa kama Makamba anatuonyesha njia za mapaka na mapanya na tunafuata tu blindly, sasa vision za mapaka na mapanya tutaishia wapi kama sio upaka na upanya tu kama Makamba mwenyewe? Sasa subiri kesho Makamba atasema nini na sisi tutafuata tuu maana aliyesema ni Makamba, pathetic!

Respect.

FMEs!
 
FMES,

..sisemi kwamba wapinzani wa-abandon kabisa juhudi zao za kuwaelimisha wananchi kuhusu haki zao, pamoja na ubovu na udhaifu wa CCM.

..lakini kama CCM wanaleta dirty tactics and name calling, basi wapinzani nao wawe tayari ku-respond in kind.

..CCM wanapaswa kushambuliwa frm every angle.
 
Back
Top Bottom