kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,234
Kwa kweli inasikitisha sana kwa dhuluma ya waziwazi inayofanywa na vyama vya wafanyakazi kwa kuchukua michango kila mwezi huku yakiwa yamekaa kimya kwa kutopigania vilio na majonzi ya wanachama wao katika mchakato wa fao la kujitoa. Kidogo nawapongeza chama cha wafanyakazi wa migodini kwa kuonyesha wanaweza.
Je kwa Tanzania, Vyama vya wafanyakazi ni mali ya serikali au wananchi? Je kuna ulazima wa hivi vyama kuwepo?
Je kwa Tanzania, Vyama vya wafanyakazi ni mali ya serikali au wananchi? Je kuna ulazima wa hivi vyama kuwepo?