Mnyika ataka Mwabukusi, Dr Slaa na Mdude wafikishwe Mahakamani au Wapewe Dhamana Muda wa kuwashikilia kisheria umekwisha!

Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Watuhumiwa wanaoshikiliwa na Polisi mh Mwabukusi, Dr Slaa na mh Mdude wanapaswa kufikishwa mahakamani au kupewa Dhamana Muda wa kushikiliwa kisheria umekwisha

Mnyika amesema kupitia ukurasa wake wa twitter
Huwa inasaidia sana .kwenye rufaa za ...muda ni mwalim mzuri
 
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Watuhumiwa wanaoshikiliwa na Polisi mh Mwabukusi, Dr Slaa na mh Mdude wanapaswa kufikishwa mahakamani au kupewa Dhamana Muda wa kushikiliwa kisheria umekwisha

Mnyika amesema kupitia ukurasa wake wa twitter
Mbona dokta Slaa alisema kupata madhila ni vitu vidogo na vya kawaida i.e kupigwa ukiandamana,kudhalilishwa,kuswekwa lupango muda mrefu bila kufikishwa mahakamani,kupekuliwa bila misingi ya sheria na haki,kubutuliwa hadi kuvunjwa viungo vya mwili na moyo pia.Hakuishia hapo,aliongeza hata kutunguliwa kwa marisaa/risasi napo ni jambo la kawaida.Sasa,kwa nini naye asipumzikepumzike kabatini ili aje atupatie simulizi la "Sintosahau"?
 
Namim natoa Rai serekali ya Dr Samia iwaachie Hawa watu haraka Sana Bila mashart yoyote
 
Mbona dokta Slaa alisema kupata madhila ni vitu vidogo na vya kawaida i.e kupigwa ukiandamana,kudhalilishwa,kuswekwa lupango muda mrefu bila kufikishwa mahakamani,kupekuliwa bila misingi ya sheria na haki,kubutuliwa hadi kuvunjwa viungo vya mwili na moyo pia.Hakuishia hapo,aliongeza hata kutunguliwa kwa marisaa/risasi napo ni jambo la kawaida.Sasa,kwa nini naye asipumzikepumzike kabatini ili aje atupatie simulizi la "Sintosahau"?
We unadhani Padre Slaa Hii ni mara yake ya kwanza kulala jela?

Waulize Shibuda na Simon 😂😀
 
Sawa.Mwanzo wa ngoma ulikuwa lele!Ni vema aishiishi na masela ili akitoka alianzishe na wamdunge risasi.Ni mambo ya kawaida sana.Normal circumstances!
Kudungwa risasi siyo kuuliwa ile lugha ya Dr Slaa mh Tundu Antipas Lisu aliielewa vizuri sana Kwani hao ni Waarabu wa Pemba😂
 
Back
Top Bottom