Mnyika asisitiza uamuzi wa Kamati Kuu dhidi ya Zitto, awakumbusha viongozi, wanachama

Hapa wamevunja katiba ya nchi mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake na kusikilizwa na mtu yeyote na mtu ana uhuru wa kushiriki shughuli zozote za kisiasa kuwazuia hadi mashabiki na wapenzi nimeamini CHADEMA hawajui sheria wala katiba ya nchi.
Usichanganye watu, alichozuiwa ni kutotumia jina, nembo wala facilities za chama, lakini yuko huru kuitisha kikao hata cha kitchen party bila usumbufu na ulinzi wa polisi atapewa.
 
Anayepaswa kujibu haya ni aliye madarakani au aliye upinzani? Umeshawahi kuiuliza serikali ya chama chako juu ya haya?

Sasa kama majibu ya matatizo yapo serikalini nini maana ya chama cha upinzani??!!!
Wanataka dola ya nini???!!!!
Kutoa tamko/ kalipio kwa serikali iliyopo haiwezi kufanywa na chama pinzani??!!
Serikali ndio ihamasishe maandamano nchi nzima kuonesha kutoridhika??!!!

Na kama unaimani na serikali hii why the hell unasapoti upinzani sasa????!!
Mambo ya kitaifa hayataki ushabiki na utetezi mwepesi huu!!!!
Chama kijitoe hadharani na kuonesha nia ya kutoa kadhia hii,in the same vein mnavyomlalamikia Zitto kutoshiriki kampeni za watu hapa chama hakishiriki kampeni za wananchi kwa ujumla wake!!!!

We need a vocal and vibrant opposition!!!!!!
 
Sasa kama majibu ya matatizo yapo serikalini nini maana ya chama cha upinzani??!!!
Wanataka dola ya nini???!!!!
Kutoa tamko/ kalipio kwa serikali iliyopo haiwezi kufanywa na chama pinzani??!!
Serikali ndio ihamasishe maandamano nchi nzima kuonesha kutoridhika??!!!

Na kama unaimani na serikali hii why the hell unasapoti upinzani sasa????!!
Mambo ya kitaifa hayataki ushabiki na utetezi mwepesi huu!!!!
Chama kijitoe hadharani na kuonesha nia ya kutoa kadhia hii,in the same vein mnavyomlalamikia Zitto kutoshiriki kampeni za watu hapa chama hakishiriki kampeni za wananchi kwa ujumla wake!!!!

We need a vocal and vibrant opposition!!!!!!

Oooh dear.........have anice day my dear man!
 
Hata Zitto kaokotwa hajulikani na Mbowe.. na Mbowe ndiye aliyemteua kuwa Naibu Katibu mkuu... Mbowe anaumia sana Kwa ZZK..
Nakubaliana na wewe kwenye hilo naona Zitto ndio akulitambua kutokana na ambition zake akiwa ndani ya SACCOS. Kama kweli ilikuwa wamtimue siku nyingi isipokuwa Mbowe, na kama kweli alimchukua akiwa na 17 then he will always remain partially sympathetical towards him, you get attached to what you nurture unaweza sema kamvumilia mno.

Ndoto za Zitto azikuwa na uungwana maana Mbowe mara kadhaa amesikika akisema muda wake bado wa kuongoza hila utafika, sidhani kama tatizo kubwa hasa la Zitto ndani ya CDM ni uhaini kama unavyodaiwa hila ambitions ambazo azikuzingatia maslahi ya chama kwa pamoja bali ni personal goals.
 
Makene na wewe uko njiani, si unamuona kijana wa Slaa anavyo jaza pengo lako humu JF,Kila habari amekua yeye ndio anatoa updates. Usije kurudi humu JF na kuanza kulilia watu.
 

Kauli ya Mnyika



Mnyika kwa upande wake alisema kutompa ushirikiano Zitto ni uamuzi wa Kamati Kuu ambao ulitokana na hatua yake ya kwenda mahakamani kwa masuala ya chama, kinyume cha matakwa ya Katiba ya Chadema na Kanuni zake.



Mnyika alikuwa akirejea taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, baada ya kikao hicho akiwataka viongozi wa ngazi zote za chama hicho, wanachama, mashabiki na wapenzi wake, kutoshiriki wala kusaidia kwa namna yoyote mikutano yote ya nje, ndani au shughuli nyingine yoyote ya kisiasa itakayofanywa na Zitto na mawakala wake.

Chanzo; Gazeti la Mwananchi.

Kama katiba ya CDM inazuiwa watu kutafuta haki mahakamani, hata kama ni kwa maswala ya chama, basi hiyo katiba ina dosari kubwa. Haki ya mtu ni moja ya basic human rights.
 
cdm mlimlea sana huyu dogo ,irregularities za 2010 zilitosha kabisa kimtoa.

nilimshtukia zitto 2010.aliongozana na mhe dr.slaa jimboni kwake.katika mkutano mmoja akasema atagombea urais 2015.nilishtuka.nikaanza kumfuatilia kwa karibu nikagundua kuwa huyu mtu hakuwa mwanasiasa.ni mchumia tumbo.kuna habari zinasambaa sasa hivi kuwa alipewa magari na mhe mkono kwa kumsaidia kupata ubunge.inasemekana alimtosa mgombea wa chadema.sasa kwa nini viongozi wa cdm walikuwa wanamlea wakijua kuwa sio mwanacdm???
 
Back
Top Bottom