MNYAMA MPYA AGUNDULlKA SERENGETI.

QUOTE=Mwalimu;Hii ni mix ya swala na nyumbu, mwili ni wa swala & bichwa kubwa ni la nyumbu!

R u serious mkuu? Kwani hao ni species 2 tofauti. Na biologically and genetically hawawezi kupandana na kuzaa!
 
Mbona kama vile kichwa cha mbuzi beberu na mwili wa swala paa??? au ndo mambo ya "myutesheni"
 
Hii picha siyo ya kutengeneza kwa Computer? mimi bado siamini kama kweli huyu mnyama anaishi Serengeti kwanini muda wote huo pamoja na tafiti nyingi kufanyika kuhusu aina na jamii ya swala hawa hakuonekana.
 
hakuna kipya hapo huyo mnyama ni jamii ya swala ametokea tu kuwa na manyoya mengi mpaka shingoni si kitu kigeni mbona hata binadamu wapo wenye manyoya mpaka hushangaza watu wengine??
 
Mungu wangu! Is this the effects of genetically modified organism? Simba-Swala
 
hili si duka la picha kweli........which part of serengeti yupo huyu kimwana tommy
 
Nchi yetu masikini jamani!tunaomba nchi za jangwani au milimani kama swiss zitusaidie!
 
hicho ki mutant tu kama yule manywele wa east asia

ila kana bahati kweli yani predators wote wale wamekaachia... dah

aitwe masharubu
 
Wanyama kama huyu huwa wanazaliwa lakini wanamalizwa na predators kwa sababu ya utofauti wao...
 
This is not new species but a product of genetic + environmental changes- it is normal to occur
 
QUOTE=Newvision;This is not new species but a product of genetic + environmental changes- it is normal to occur

Validate your statement with scientific evidences.
 
QUOTE=JS;National Geographic au Animal Planet inabidi wajuzwe kuhusu kizazi hiki cha aina yake.

Wameshajua. They are trillion miles ahead of us in terms of news gathering. Kwani hata hao wanaojifanya 'KUMGUNDUA' huyo swala waliwapa taarifa hao jamaa kwanza!

Huyu hatakuwa mpya ila labda ndio ameonekana lazina ni Thompson Gazelle ila amekuwa na features kama beberu, kitu ambacho kinatokea kwenye jamii yeyote ile. Itakuwa kama Simba dume kuwa hana manyoya kabisa.
 
Back
Top Bottom