Mnyama anapopatikana.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
attachment.php
 
Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    62.6 KB · Views: 403
duh hawa masela huruma zero kabisa. ni bora wangeita watu wa game wampige risasi ya usingizi na kumrudisha porini kwake.
 
Mkuu ulipotaja mnyama nikafungua mbio nikijua ni kitimoto,ah kumbe nyau hawa jamaa nao hawana kazi huyo ni wa kumsindikiza na dongo tu anarudi kwao maporini.
 
Mchezo?, chakula?, kulipiza kisasi?, utamaduni?, or ...............
 
Mkuu ulipotaja mnyama nikafungua mbio nikijua ni kitimoto,ah kumbe nyau hawa jamaa nao hawana kazi huyo ni wa kumsindikiza na dongo tu anarudi kwao maporini.
paka mweus umenikumbusha mbali sana,ITENGA MATAK0 je unapajua KATISUNGA,IBINDI,MISHAMO,KASOKOLA,MPIMBWE,USEVYA KWA MZEE PINDA,KAkese,AAH UMENIKUMBUSHA ENZIZANGU NALANGUA MPUNGA HUKO.
:caked:
 
paka mweus umenikumbusha mbali sana,ITENGA MATAK0 je unapajua KATISUNGA,IBINDI,MISHAMO,KASOKOLA,MPIMBWE,USEVYA KWA MZEE PINDA,KAkese,AAH UMENIKUMBUSHA ENZIZANGU NALANGUA MPUNGA HUKO.
:caked:

Hahahahahaha huko kote viwanja vyangu mkuu nilikuwa nalangua mbao kipindi mninga umekubali pande zile unapakumbuka Inyonga?
 
Kuna Jamaa hapo kwa nyuma upande wa kushoto...ana kama msuli na yuko kifua wazi....huyu bwana mnyama akigeuka hata kidogo...kutaka kufanya attach...nakwambia...hawa watafukufa kwa kukanyagana wakikimbia......wengine wanaweza kufa kwa kucheka...kuangalia walio mashujaa...wanao aminika wakikimbia.
 
Back
Top Bottom