Mnisaidie kuniambia tatizo la computer langu.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Nilikuwa natumia laptop ''TOSHIBA SATELLITE'' ila kosa nililokuwa nafanya nilikuwa naacha kitandani ikiwa sijazima,ingawa siyo kila mara nikiacha.Siku moja ikazimika na haikuwa tena na ikawa inatoa harufu ya kuugua sehemu za kuchomekea headphones,tangu imezimika nikiiwasha inawaka inaonyesha tu mwanga na haikai hata sekunde 10 halafu inazimika yenyewe.Nisaidieni nijue tatizo na nini kimeungua,au kama imeungua/kufa mazima kabla sijapeleka kwa fundi.
 
Impossible kujua nini kimeungua, ila probably CPU au sehemu ya motherboard, sidhani kama vinalipa kutengeneza kwenye laptop, bora kununua mpya. Harddrive probably itakuwa ok, so data utazipata.

Ni muhimu kuweka laptop kwenye kitu solid, kama kitabu au magazineukiwa kitandani maana mashuka yanaziba matundu ya hewa.
 
Nunua Mpya mkubwa utaumiza kichwa utajikuta umetumi laki 3 kurepair kitu kibovu wakati hapo ungeongezea laki 3 nyingine ungenunua brand new laptop!!!
 
nina mela wangu ana toshiba nalo lina tatizo hilohilo siszifagilii toshiba noma... pia next time isiwe unaweza laptop juu ya kitu kinachovyonza joto na kuhifadhi...
 
Impossible kujua nini kimeungua, ila probably CPU au sehemu ya motherboard, sidhani kama vinalipa kutengeneza kwenye laptop, bora kununua mpya. Harddrive probably itakuwa ok, so data utazipata.

Ni muhimu kuweka laptop kwenye kitu solid, kama kitabu au magazineukiwa kitandani maana mashuka yanaziba matundu ya hewa.
Ushasema hujui nini kimeungua, unachojua ni "probably" CPU au sehemu ya motherboard. Kwa hiyo usishauri laptop itupwe, hujui! Hiyo sehemu ya motherboard inaweza kuwa kitu kidogo sana kinachorekebishika, hujui. Ikifunguliwa inaweza kujulikana, hatujui. Na inawezekana hana hela ya ziada ya kununua laptop, ana nguvu ya kuangalia uwezekano wa kukarabati, hujui.

Mzazi, peleka laptop kwa fundi upate ushauri wa aliyeiona.
 
Nilikuwa natumia laptop ''TOSHIBA SATELLITE'' ila kosa nililokuwa nafanya nilikuwa naacha kitandani ikiwa sijazima,ingawa siyo kila mara nikiacha.Siku moja ikazimika na haikuwa tena na ikawa inatoa harufu ya kuugua sehemu za kuchomekea headphones,tangu imezimika nikiiwasha inawaka inaonyesha tu mwanga na haikai hata sekunde 10 halafu inazimika yenyewe.Nisaidieni nijue tatizo na nini kimeungua,au kama imeungua/kufa mazima kabla sijapeleka kwa fundi.

Let me share with you, my non-technical experience.

Na mimi nina Toshiba Sattelite.
Ilianza kutoa joto sana hata likawa linaniunguza mikono kwenye keyboard hasa upande wa kushoto ambako ndiko kwenye cooling system. Baadaye ikawa inajizima bila utaratibu. Huku niliko, kuna Toshiba Service centre. Niliwapelekea, Wakaingia nayo chumbani, wakarudi baada ya dk kama 3 au 4 huku wakiwa wanacheka cheka. Wakaniambia wamegundua tatizo halihitaji kulipiwa, wamenisaidia bure. Nilipo dadisi, wakaniambia kitu inaitwa "Heat sink" ilikuwa clogged na dust. Walichofanya ni kupuliza. Tukaijaribu kwa pamoja, ikawa haina tatizo. Sasa huu ni mwezi wa 5 umepita.

Kama walivyoshauri wadau hapo juu, peleka kwa mafundi wanaoelewa. Au kama ulipo kuna Toshiba service centre, peleka huko.
 
Nilikuwa natumia laptop ''TOSHIBA SATELLITE'' ila kosa nililokuwa nafanya nilikuwa naacha kitandani ikiwa sijazima,ingawa siyo kila mara nikiacha.Siku moja ikazimika na haikuwa tena na ikawa inatoa harufu ya kuugua sehemu za kuchomekea headphones,tangu imezimika nikiiwasha inawaka inaonyesha tu mwanga na haikai hata sekunde 10 halafu inazimika yenyewe.Nisaidieni nijue tatizo na nini kimeungua,au kama imeungua/kufa mazima kabla sijapeleka kwa fundi.

Inatoa harufu ya kuugua sehemu ya kuchomekea.......mhhhh hiki kiswahili chako kitaleta maneno mengine hapa..taadhari. Lakini nashauri kama wewe si mtaalam wapelekee mageeks watakusaidia.
 
i bet the outlet of the heat sink iko kwa chini... and when u left it on ur bed, no air was coming out... so the motherboard over heated... try changing ur heat sink. and pray that ur processor is not fried...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom