josephjul40
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 218
- 40
Habari za humu wana jamii forum? Naomba mnieleweshe ni vifaa vipi vinavyohitajika ili kuweza ku flash simu za Nokia. Nasikia tu kuwa sijui kuna box, sasa hilo box ni kitu gani? Na je vifaa hivyo au hilo box la Nokia liaweza kugharimu kiasi gani cha fedha? Asanteni!!!