Kiziza
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 439
- 77
Hata kama wangejipodoa vizuri. Sikuzote wanawake hujiskia vibaya pale wazidiwapo na wenzao.....wivu tu. Nani aliwaambia kuwa kwa kuweka katani kichwani na masizi mdomoni na machoni ndio kivutio cha kupendwa? Fanya research utaamini nikikwaambia kuwa shedo mnayopaka inatengenezwa kwa placenta+harufu za maua ili muipende. Yani mnapaka
placenta ya wanawake wenzenu!!! Na
bado mnaenda kuwalisha waume zenu!!! Na
ndo mnaanza kujisifu kuwa ete "nilimpa wet
kiss nikwambie shosti wangu" Endeleeni tu.[/
QUOTE]
Presha yote hiyo ya nini we si utafute huyo natural,halafu wengine waache kwa sababu hawakuhusu,kuweka make up kuko,kulikuwepo na kutaendelea kuwepo na si kutaka kwako wewe.