Mnazi wa Liverpool afariki Mererani

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Huu unazi wa timu zasoka barani ulaya vimeendelea kuchukua maisha ya watu mbali mbali. Kijana mmoja huko Mererani leo amepoteza maisha mara baada ya mchezaji wa Manchester United Robin Van Persie alizimia ghafla baada ya mchezaji huyo kufunga goli la 2 kwa Man Utd. Mashuhuda wanasema kuwa walishangaa kumuona kijana huyo ( jina halijatambuliwa) akidondoka kutoka kitini mara baada ya Van Persie kufunga penati hiyo, alikimbizwa kituo cha afya Mererani lakini aliripotiwa kupoteza maisha muda mfupi baadae.
My take:Watu tuwe makini na huu utandawazi katika kushabikia vitu fulani...
 
Khaa'yaaan kifo kimemkuta kisa? Halaf RVP wala hajui na hata jua kuwa kunamtu amekufa kisa na sababu ni yeye 'huu unazi wa hivi tuachane nao aisee hayo siyo mapenzi bali ni mahaba Mweeh'May His Soul Rest in Peace
 
Mi naipenda Tukuyu Stars ya Mbeya na Pamba ya Mwanza
..Duh! Mikela umenikumbusha last week niliona runingani kuna wadau Tukuyu kule wanajipanga kuifufua hiyo timu.....Mi nilikuwa shabiki sana wa Mecco siku haipo nimeamua kutulia tu maana hata hayo Masimba na Mayanga full kukereka tabu ya nini bhana!! Hata huko majuu sitaki matatizo mi naangalia mpira tu no ushabiki kwa timu yoyote!!
 
Nilishawahi kusikia jamaa mmoja alishamuweka mkewe rehani kwa ushabiki wa mpira!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom