Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

Mechanic 97

JF-Expert Member
Feb 6, 2021
506
826
Wakuu Ninaharaka sana na mzigo mnapokeaje kupitia speedaf maana nimeskia wao ni wiki mbili ila Kwa Hawa na wanaoship ni two month.
 
Attachments

  • Screenshot_20230305-143231~2.jpg
    Screenshot_20230305-143231~2.jpg
    47.8 KB · Views: 72
Wakuu Ninaharaka sana na mzigo mnapokeaje kupitia speedaf maana nimeskia wao ni wiki mbili ila Kwa Hawa na wanaoship ni two month.View attachment 2538031
Utapokea kupitia kwa wakala. Kwa hiyo anuani uliyoandika yeye atakupigia simu na kukuambia wapi atakuwepo huyo wakala uende kuchukua mzigo wako. Mfano, Kibaha huwa tunapokelea pale karibu na baa ya River Road Picha ya Ndege.
 
Endelea kufuatilia tracking number | Mzigo ukifika nchini mwishoni mwa tracking utaandikiwa Jina na namba ya simu la mtu ambaye anao mzigo wako tayri kwa kukufanyia delivery. Wewe jukumu lako ni kumpigia na kumpa maelekezo ya ziada iwapo utakuwa nayo.
 
Ila hapo kwenye jina la shipper speedaf hajaandikwa hii imekaaje?
 
Tracking number ikianza na TZ000
1678017838505.png

- Tambua mzigo unapita mikononi mwa speedaf.
Ahaa ila mbona wameandika delivery ni mwezi wa tano hafu nimeskia
Baada ya wiki mbili angalia update ya mzigo wako, utaona mahala umefikia.
 
Cheap is expensive bro
Hapana. Nimeshasafirisha mizigo na hao wote, DHL, Fedex, Aramex, USPS, UPS nk, ila hao DHL na Fedex ni complicators sana. Yaani hata ukitaka kufanya clearance wewe mwenyewe bado wanataka kukuuzia document zako kwa Tshs. 88,000/= ambazo ni unjustified. Ni wizi flani wanafanya, maana wao kazi yao ni kusafirisha mizigo, sasa ukiuliza kwa nini ulipie document zako wanasema kwa sababu umetumia jina letu, ajabu sana. Yaani unalipa ili upewe ile AIRWAY bill.
Sasa ya nini kuingia gharama zisizo na msingi wakati suala ni kupata mzigo tu. Ali express wakaona waturahishie kwa kuleta speedaf, mambo yamekuwa bambam..hao DHL ni miyeyusho, hata kwa hapa Tanzania bora utumie EMS kuliko DHL, wameweka gharama kubwa na wanaringa. Kwa Dar wanakuambia mzigo ufuate ofisini kwao, wao mwisho kudeliver ni ubungo, wakati EMS wanaleta mpaka Mpiji Magohe na gharama ni ndogo.
 
Kwa amabye angependa kuendelea kupokelea posta anafanyaje ili mzigo ufike posta na si kwa speedaf!?.
Utachagua pale kwenye shipping, wanaweka option nyingi. Lakini kumbuka muuzaji ndiye anayeweka options na sio mnunuzi, kwa hiyo kama hajaiweka hiyo ya posta itabidi uwasiliane nao uone kama ataweza kukutumia.
 
Mkuu vipi, mi nina mda sana sja agiza kitu AliExpress coz naskia et Speedaf wanapiga watu vitu vyao vipi wewe experience yako na hawa watu.
 
Tracking number ikianza na TZ000
View attachment 2538050

Back
Top Bottom