BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
...e bana kuna watu wadaku!
uko kwenye daladala,au sehemu nyingine unaCHAT.
jirani yako kakomaa...katupia jicho simu yako...kuona msg zinazoingia na kutoka!
kiufupi huwa inaboa na inamnyima mtu uhuru
ni umbea usio na maana!
soma KISA hiki hapa chini,ni kichekesho lakini inaweza kukomesha katabia haka kama vipi unaweza ukaijaribu
"""Mshikaji kakaa kwenye daladala anaandika SMS, huku kashika kibegi chake. Mzee mmoja pembeni si akawa anakomaa kuangalia jamaa anaandika nini! Mshikaji akaamua kubadilia SMS akaanza kuandika: Yule nyoka uliyenipa inaelekea hujamtoa meno ya sumu, hapa nilipo anasumbua kwenye begi anataka kutoka, sijui nifanyeje na alivyo mkubwa akitoka ataniletea tabu hadi mimi. Mzee kuona vile akaanza kusogea pembeni! Mshikaji akachukua begi akamrushia! Mzee akaruka dirishani fasta! Nyokaaaaaaaa nakufaaaaaa! Kwenye daladala mwanawane,sio fureshi kukomaa kusoma meseji za watu!"""