Mnaofahamu: Hali ikoje dhidi ya ugonjwa wa Marburg mkoani Kagera?

Saidama

JF-Expert Member
Jun 10, 2022
501
946
Kwa mlioko mkoani Kagera au mlio na wapendwa wenu mkoani humo mna taarifa gani mpaka sasa kuhusu ugonjwa huu, maana kumekua kimya kiasi juu ya hili?

Muda si mrefu nimeona waziri mwenyewe dhamana Ummy Mwalimu anasema mpaka sasa ni watu nane tu ndio waliopata ugonjwa huo na kati yao watano ndio wamefariki na leo wamemruhusu mgonjwa mmoja mwenye umri wa miaka 26. Je, anachokizungumza waziri ndiyo hali halisi?
 
Hiyo ni nyara za serekali
 
Acha taarifa za kuzua taharuki

USSR
 
Huyu mama alipoingia aliamua kuiita covid kama covid hakutaka habari za mafua makali.

Imefika zamu yake limeibuka la kuibuka badala yakutuambia ni ebola ugonjwa tuliokuwa tunausikia toka wadogo, wanatuambia marburg na taarifa zinafichwa.

Ye si alitaka uwazi wa covid, kwa nini hataki uwazi wa ebola??
 
We fala nini!?..Waziri kasema we hutaki!!..una vyombo vyako vya uchunguzi!?
 
Huyu mama alipoingia aliamua kuiita covid kama covid hakutaka habari za mafua makali.

Imefika zamu yake limeibuka la kuibuka badala yakutuambia ni ebola ugonjwa tuliokuwa tunausikia toka wadogo, wanatuambia marburg na taarifa zinafichwa.

Ye si alitaka uwazi wa covid, kwa nini hataki uwazi wa ebola??
Una maabara umepima ukaona ni Ebola!?
 
Naaamini serikali ya Mama Samia imechukua hatua stahiki za kudhibiti kuenea huo ugonjwa ndio maana hauja -hit kiasi kikubwa. Hata WHO waliipongeza serikali Kwa hatua hizo.
 
Huyu mama alipoingia aliamua kuiita covid kama covid hakutaka habari za mafua makali.

Imefika zamu yake limeibuka la kuibuka badala yakutuambia ni ebola ugonjwa tuliokuwa tunausikia toka wadogo, wanatuambia marburg na taarifa zinafichwa.

Ye si alitaka uwazi wa covid, kwa nini hataki uwazi wa ebola??
Lakini Ebola ni Ebola na Marburg ni Marburg. Hapo sidhani kama kuna tatizo
 
Back
Top Bottom