Mnaoenda kuaga: Sio wote wanakuja kumuaga kanumba wengine wako kazini kuwaibia

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Si vibaya tukaweka wazi.

Ndugu zangu mnaokuja kwenye msiba wetu wa kijana wetu mpendwa, lazima mjue na muwe makini sana sana hali ni mbaya dunia imebadilka, ndugu zanguni naomba niweke wazi kwenye mikusanyiko ya wengi shwetani ndio sehemu yake.

hivyo hivyo ujue mnapokuja kuaga sio wote wako kwa ajili ya kuaga wengine wako, kikazi zaidi kuanzia kwenye magari yenu mpaka kwenye mifuko yenu .....ni vyema sasa, kama uko njiani mwambie nduguyo aisache valuables kwenye gari wapo walionunua, miwani kwa ajili ya kuchungulia tinted kuna nini ndani...naomba msilie mara mbili msiba wa kanumba unatosha kutuliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom