Mnamsingizia Lowassa kila kitu ili muonekane wasafi, je hili ni la nani?

Afixa0

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
464
485
-Viongozi waandamizi wa CCM wameongea sana na kumchafua Lowassa kwamba ni fisadi bila kutoa uthibitisho popote pale kwa muda mrefu. Tena kuna wengine ambao wana madoa zaidi ya chui lakini sasa hivi wanajiona wasafi zaidi ya theluji kwa sababu tu wanaficha maovu yao kwa jina la Lowassa

-Lowassa hayuko serikalini kwa miaka mingi na pia hayuko CCM lakini kinachoshangaza ni kwamba jina lake bado linatumika vibaya kwa ajili ya kuficha ukweli.

-Nawaombeni ndugu watanzania tujiulize kwamba hili suala la “ Hewa hewa” kila idara ni dili ya nani ndani ya CCM na serikalini. Tunaambiwa kuna wafanyakazi, wanafunzi, bajeti nk hewa, Je nani aliyekuwa anasimamia ufisadi huu wa kutengeneza taarifa zisizo sahihi serikalini tangia uhuru hadi sasa?

-Naomba nijue wanafunzi na wafanyakazi hewa walitoka wapi? Nina amini huu ni mchezo uliofanywa na mafisadi wa CCM na hao watu wapo na yawezekana wanajulikana lakini hawasemwi kwasababu ndio wale wenye maneno mengi na matusi ndani ya CCM.

#Huu ufisadi wa HEWA HEWA kila idara ni wa nani?
 
Mkuu nimecheka kidogo, ufisadi nchi hii ni kama kichaa na kamba au kichaa na kuta..... ufisaidi ulitamalaki na ndo maana kwenye maandiko wanasema " aliye msafi awe wa kwanza kumpiga mawe yule dada kahaba".

Hao wanao jifanya wasafi wakipewa hiyo nafasi, wawe wa kwanza kusema sio mafisadi hakuna hata 1 atafanya hivo ila Mungu anawajua kwa wengi watajificha ila kwa Mola
wanajidanganya.
 
Ukitaja Ufisadi wa Lowassa bila ya kushukuru Ujasiri wa Mh.Mbowe na Uthubutu wa Mh. Kubenea ni kutowatendea haki. Bila ya Ujasiri wa hawa Makamanda wawili CCM ingeanzaje kumtaja Lowassa kwny Wizi na Ufisadi?
Chadema ndio chama pekee Duniani na Ulimwenguni kumteua Mgombea Urais mtu aliewahi kuwekwa kwny Tovuti ya chama hicho kama Mmoja wa Manguli wa Ufisadi Tanzania (List of shame)
 
Ukiona vijibwa mtaani vinajikunyata na kufyata mikia kila wasikiapo kisindo cha dume lao basi ujue hainaga ushemeji wote waliwahi ama wanammendea dume tajwa kupata mbegu....go go gooo mamvi...unawatisha kina baba nanihii na nanihii hawaishi kuweweseka!
 
Mpaka itakapothibitishwa vinginevyo-"CCM ndio mtambo wa kufyatua mafisadi Tanzania"
...alafu CCM ikiwakurupusha wanakimbilia chadema.....laiti mngelikuwa na ujasiri wa ccm wangekosa kwa kukimbilia na wangeangamia.
 
The average weight of a White man's brain is 1380 grams,a Black 1249. Cubic capacity-White 1481,Black 1386. In both cases this is difference of about 10%. The sutures of a Black infant's skull unite at an earlier age than a White's,thus retarding development (The Story of Man,1962,by Carleton Coon,past President of the American Association of Anthropologists.
(H:I would like you to pause here a minute and consider your response to this segment and information. This is objective and not "by opinion' and the facts go further-an' average" Jewish person is smaller than either of the above recognized "races" -but has higher IQ,larger and heavier brain. This is simply FACTUAL information- no more and no less and makes no reference to status or bias.)
 
-Viongozi waandamizi wa CCM wameongea sana na kumchafua Lowassa kwamba ni fisadi bila kutoa uthibitisho popote pale kwa muda mrefu. Tena kuna wengine ambao wana madoa zaidi ya chui lakini sasa hivi wanajiona wasafi zaidi ya theluji kwa sababu tu wanaficha maovu yao kwa jina la Lowassa

-Lowassa hayuko serikalini kwa miaka mingi na pia hayuko CCM lakini kinachoshangaza ni kwamba jina lake bado linatumika vibaya kwa ajili ya kuficha ukweli.

-Nawaombeni ndugu watanzania tujiulize kwamba hili suala la “ Hewa hewa” kila idara ni dili ya nani ndani ya CCM na serikalini. Tunaambiwa kuna wafanyakazi, wanafunzi, bajeti nk hewa, Je nani aliyekuwa anasimamia ufisadi huu wa kutengeneza taarifa zisizo sahihi serikalini tangia uhuru hadi sasa?

-Naomba nijue wanafunzi na wafanyakazi hewa walitoka wapi? Nina amini huu ni mchezo uliofanywa na mafisadi wa CCM na hao watu wapo na yawezekana wanajulikana lakini hawasemwi kwasababu ndio wale wenye maneno mengi na matusi ndani ya CCM.

#Huu ufisadi wa HEWA HEWA kila idara ni wa nani?
ninachokiandika hapa chini naamini si kipya, kila mtu anajua lakini nitaandika tena...

it's natural kuona kuwa inapoingia regime mpya huwa inahikikisha inaweka watendaji wake wapya kwenye taasisi mbalimbali.

kwa vile CCM ilikuwa imechafuka mwili mzima, regime mpya iliposimikwa kila mtendaji aliyekuwemo alikuwa linked (fairly or unfairly) na uchafu uliosababishwa na serekali ya CCM. watendaji wa zamani wakawa mbuzi wa kafara (aka majipu) na Watanzania wasiojitambua wakashangilia (na wengine bado wanashangilia) blindly.

mmesikia juzi hapa kuwa wasio wana CCM hawatateuliwa kwenye taasisi za serekali. kwa dhana ya ufisadi inayofahamika na kila mtu, huu ni ufisadi uliojitosheleza.

ufisadi na CCM ni kama uji na mgonjwa, utaendelea kuwepo as long as CCM remains in power.
 
Mimi nashangaa Sana, tegeta escrow, lugumi, hewahewa, mabehewa feki, rada, na mambo mengine mengi sana yamefanyika bila kuwepo lowassa. Leo hii lowassa lowassa jamani.
 
Ukitaja Ufisadi wa Lowassa bila ya kushukuru Ujasiri wa Mh.Mbowe na Uthubutu wa Mh. Kubenea ni kutowatendea haki. Bila ya Ujasiri wa hawa Makamanda wawili CCM ingeanzaje kumtaja Lowassa kwny Wizi na Ufisadi?
Chadema ndio chama pekee Duniani na Ulimwenguni kumteua Mgombea Urais mtu aliewahi kuwekwa kwny Tovuti ya chama hicho kama Mmoja wa Manguli wa Ufisadi Tanzania (List of shame)
Baada ya kujua mlimsukia zengwe na kuwapa documents fake kuonyesha alikua fisadi,sasa DPP wa serikali ya chama chenu ndie mwenye mamalaka mumpeleke MAHAKAMANI na haki itendeke unlessotherwise mtakuwa "mataahira"
 
Kama tangia uhuru ata lowasa atakuwemo maana jamaa kakaa sana serkal ilo dili hawez kosa fisadi papa aisee
 
Wanamtumia Lowasa kujisafisha, ukihoji unatumiwa kikosi cha 'form four leavers'.
 
ninachokiandika hapa chini naamini si kipya, kila mtu anajua lakini nitaandika tena...

it's natural kuona kuwa inapoingia regime mpya huwa inahikikisha inaweka watendaji wake wapya kwenye taasisi mbalimbali.

kwa vile CCM ilikuwa imechafuka mwili mzima, regime mpya iliposimikwa kila mtendaji aliyekuwemo alikuwa linked (fairly or unfairly) na uchafu uliosababishwa na serekali ya CCM. watendaji wa zamani wakawa mbuzi wa kafara (aka majipu) na Watanzania wasiojitambua wakashangilia (na wengine bado wanashangilia) blindly.

mmesikia juzi hapa kuwa wasio wana CCM hawatateuliwa kwenye taasisi za serekali. kwa dhana ya ufisadi inayofahamika na kila mtu, huu ni ufisadi uliojitosheleza.

ufisadi na CCM ni kama uji na mgonjwa, utaendelea kuwepo as long as CCM remains in power.
Kuna MD au waziri kutoka nje ya CCM?
 
Back
Top Bottom