Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=q93XHjsiMd4]YouTube - President Reagan Assaulted by Protester[/ame]
Nyani Ngabu ya bush ilikuwa Heavy kuliko Ya Reagan upo na mimi?
No sikubaliani na wewe. Ile ya Bush hata kama kiatu kingempiga maisha yake yasingekua hatarini. Sasa huyu aliyemkaribia Reagan si angeweza kumchoma na kitu, kumkaba au hata kumpiga risasi? Fimbo ya mbali haiuwi nyoka hii ya Reagan ingekua big deal hasa angezuurika. Secret Service lazima wangeipata.