Mnakaribishwa kesho Ijumaa Juni 9, 2023 UVCCM Taifa, Upanga

Shabani Ajaha

Member
Aug 18, 2021
78
60
UVCCM-TAIFA

08 Juni 2023

KIJANA SEMA NA UVCCM

Vijana ni hazina muhimu sana kwa Taifa letu kwasababu ya upeo wao mkubwa wa kufikiri na uwezo mkubwa katika utendaji wa kazi kwa maslahi ya Nchi yetu.

Kwa kutambua hilo, UVCCM imetenga siku ya Ijumaa ya Tarehe 9 Juni 2023 katika Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM Upanga Jijini Dar es Salaam kama siku rasmi ya kuwasikiliza vijana wote wa kitanzania.

Hivyo, tunawakaribisha sana vijana wote kusema na UVCCM ili nasi tubebe mawazo, maoni, mapendekezo na changamoto za vijana kama kipaumbele chetu kila siku.

Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa.

IMG-20230609-WA0126.jpg
 
Mlikuwa wapi siku zote mpaka mnaibuka leo baada ya kuona CCM inaenda kupigwa za uso na wananchi?

Si nyie ndio mlimsimanga Ndugai hadi akaachia ngazi?

Leo kauli ya Ndugai imethibitika kuwa ya ukweli, mnaanza kuweweseka!
 
UVCCM-TAIFA

08 Juni 2023

KIJANA SEMA NA UVCCM

Vijana ni hazina muhimu sana kwa Taifa letu kwasababu ya upeo wao mkubwa wa kufikiri na uwezo mkubwa katika utendaji wa kazi kwa maslahi ya Nchi yetu.

Kwa kutambua hilo, UVCCM imetenga siku ya Ijumaa ya Tarehe 9 Juni 2023 katika Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM Upanga Jijini Dar es Salaam kama siku rasmi ya kuwasikiliza vijana wote wa kitanzania.

Hivyo, tunawakaribisha sana vijana wote kusema na UVCCM ili nasi tubebe mawazo, maoni, mapendekezo na changamoto za vijana kama kipaumbele chetu kila siku.

Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa.

View attachment 2650546
UVCCM oyeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom