Mnadili vipi na mwanamke ambaye ni careless

Dx and Rx

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
1,303
3,085
Kichwa cha habari chahusika.

-Hamna mpangilio wa ratiba ya nini akifanye kwa muda gani

-Anasema jambo lenye kuhitaji utatuzi bila kufafanua kama vile anayeambiwa yupokwenye akili yake

-Hazingatii alicho nacho hadi kinapitwa na muda wake wa matumizi na kusababisha hasara

-Akiambiwa kitu hakijakaa sawa anahisi kuonewa na kulalamika ilihali yeye ndio muhusika

Kwa ustawi wa familia mnadili vipi na mwanamke wa hivi?
 
Kama huja muoa muacha usije kuja kutuulia dada etu baadae ....tafuta anae kufaaa.....kama umemuoa wewe si kichwa cha nyumba mfundishe taaritibu bila kuchoka
 
Kichwa cha habari chahusika.

-Hamna mpangilio wa ratiba ya nini akifanye kwa muda gani

-Anasema jambo lenye kuhitaji utatuzi bila kufafanua kama vile anayeambiwa yupokwenye akili yake

-Hazingatii alicho nacho hadi kinapitwa na muda wake wa matumizi na kusababisha hasara

-Akiambiwa kitu hakijakaa sawa anahisi kuonewa na kulalamika ilihali yeye ndio muhusika

Kwa ustawi wa familia mnadili vipi na mwanamke wa hivi?
mtie mimba tu,
halafu ya kwanza na ya pili viachane muda kiduchu sana, atanyookaa tu 🐒
 
Back
Top Bottom