NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,399
- 13,012
Nimeona mnada wa Jezi tano zenye majina ya viongozi wa nchi likiwepo jina la Rais wa nchi Samia Suluhu Hassan na jina la Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.
NALIA NGWENA nilikua naangalia nini kitu muhimu katika ile jezi lakini kitu muhimu nimeona ni jina tu la kiongozi hakuna kitu muhimu kingine.
Kama zile jezi zingesainiwa na viongozi husika hakika ingeleta maana kubwa sana hata mtu/shabiki akichukua anaweka ndani kama kumbukumbu ya jezi iliyokuea na saini halisi ya kiongozi husika.
Simba SC imefeli pakubwa sana kuuza majina ya viongozi bila saini halisi maana majina mtu yoyote anaweza kuchapa na kuvaa.
Nawasilisha hoja.