Mnada wa Jezi tano wa Simba SC zenye majina ya viongozi ungependeza kama zingesainiwa na wahusika

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,786
Nimeona mnada wa Jezi tano zenye majina ya viongozi wa nchi likiwepo jina la Rais wa nchi Samia Suluhu Hassan na jina la Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.

NALIA NGWENA nilikua naangalia nini kitu muhimu katika ile jezi lakini kitu muhimu nimeona ni jina tu la kiongozi hakuna kitu muhimu kingine.

Kama zile jezi zingesainiwa na viongozi husika hakika ingeleta maana kubwa sana hata mtu/shabiki akichukua anaweka ndani kama kumbukumbu ya jezi iliyokuea na saini halisi ya kiongozi husika.

Simba SC imefeli pakubwa sana kuuza majina ya viongozi bila saini halisi maana majina mtu yoyote anaweza kuchapa na kuvaa.

Nawasilisha hoja.

1690869120688.jpg
 
Nimeona mnada wa Jezi tano zenye majina ya viongozi wa nchi likiwepo jina la Raisi wa nchi Dr Samia suluhu hasan na jina la waziri mkuu kasimu Majaliwa.

NALIA NGWENA nilikua naangalia Nini kitu muhimu katika ile jezi lakini kitu muhimu nimeona ni jina tu La kiongozi hakuna kitu muhimu kingine.

Kama zile jezi zingesainiwa na viongozi husika hakika ingeleta maana kubwa sana hata mtu/shabiki akichukua anaweka ndani Kama kumbukumbu ya jezi iliyokuea na Saini halisi ya kiongozi husika.

Simba sc imefeli pakubwa sana kuuza majina ya viongozi bila Saini halisi maana majina mtu yoyote anaweza kuchapa na kuvaa.

Nawasilisha hoja.View attachment 2704505
Kuna wakati unaongeaga point hadi nashangaa kama ni wewe. Zoezi zima wangeweza kulifanya tofauti kidogo ila labda muda haukuruhusu au pia walitaka lionekane liko wazi kwa kila mtu hadi wanyonge waweze kubid. Wangefanya tukio hotelini wakaalika wenye pesa zao halafu wakawa na jezi zilizosainiwa, wangeweza kupata maokoto ya hata milioni 100.

Jezi iliyosainiwa wangesema minimum kubid milioni 2, hapo wengine wangekuja kusema wamebaguliwa.
 
Nimeona mnada wa Jezi tano zenye majina ya viongozi wa nchi likiwepo jina la Rais wa nchi Samia Suluhu Hassan na jina la Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.

NALIA NGWENA nilikua naangalia nini kitu muhimu katika ile jezi lakini kitu muhimu nimeona ni jina tu la kiongozi hakuna kitu muhimu kingine.

Kama zile jezi zingesainiwa na viongozi husika hakika ingeleta maana kubwa sana hata mtu/shabiki akichukua anaweka ndani kama kumbukumbu ya jezi iliyokuea na saini halisi ya kiongozi husika.

Simba SC imefeli pakubwa sana kuuza majina ya viongozi bila saini halisi maana majina mtu yoyote anaweza kuchapa na kuvaa.

Nawasilisha hoja.

Uko sahihi. Jezi ya Mesi iliyosainiwa ni kumbukumbu yangu na ipo kwenye fremu.
 
Kuna wakati unaongeaga point hadi nashangaa kama ni wewe. Zoezi zima wangeweza kulifanya tofauti kidogo ila labda muda haukuruhusu au pia walitaka lionekane liko wazi kwa kila mtu hadi wanyonge waweze kubid. Wangefanya tukio hotelini wakaalika wenye pesa zao halafu wakawa na jezi zilizosainiwa, wangeweza kupata maokoto ya hata milioni 100.

Jezi iliyosainiwa wangesema minimum kubid milioni 2, hapo wengine wangekuja kusema wamebaguliwa.
Hii ni timu ya wote wenye pesa na wasio na pesa
 
Ndiyo maana nimesema inawezekana wameenda na utaratibu huo ili kumpa kila mtu nafasi ila wangeweza kupata makusanyo makubwa zaidi kwa kuboresha utaratibu. Mfano, wangetangaza watu waanze kubid siku 1 kabla, ingewapunguza wale wenye pesa ndogo na bado wakawa wamepewa fursa ya kushiriki.

Kipindi cha lisaa halafu unaachia kila mtu abid wengine wanataja 50,000, hauwezi kupata maokoto makubwa.

Jezi iliyosainiwa tayari inabidi uipe thamani kwa kuweka minimum bid, inasaidia pia kuokoa muda.
 
Kuna wakati unaongeaga point hadi nashangaa kama ni wewe. Zoezi zima wangeweza kulifanya tofauti kidogo ila labda muda haukuruhusu au pia walitaka lionekane liko wazi kwa kila mtu hadi wanyonge waweze kubid. Wangefanya tukio hotelini wakaalika wenye pesa zao halafu wakawa na jezi zilizosainiwa, wangeweza kupata maokoto ya hata milioni 100.

Jezi iliyosainiwa wangesema minimum kubid milioni 2, hapo wengine wangekuja kusema wamebaguliwa.

HII ndio MICHANGO na mawazo ninayopenda kuyasoma.

Asante sana kaka.
Unamawazi mazuri
 
Nimeona mnada wa Jezi tano zenye majina ya viongozi wa nchi likiwepo jina la Rais wa nchi Samia Suluhu Hassan na jina la Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.

NALIA NGWENA nilikua naangalia nini kitu muhimu katika ile jezi lakini kitu muhimu nimeona ni jina tu la kiongozi hakuna kitu muhimu kingine.

Kama zile jezi zingesainiwa na viongozi husika hakika ingeleta maana kubwa sana hata mtu/shabiki akichukua anaweka ndani kama kumbukumbu ya jezi iliyokuea na saini halisi ya kiongozi husika.

Simba SC imefeli pakubwa sana kuuza majina ya viongozi bila saini halisi maana majina mtu yoyote anaweza kuchapa na kuvaa.

Nawasilisha hoja.

Utokolo fanyeni hivyo hamjachelewa ili muipiku Simba
 
Back
Top Bottom