MMU: Tujadili siasa na mustakabali wa afya zetu ......

Mwanamke kamili amenishauri kukaa nyumbani mara moja moja, nina hazina ya kutosha kwenye friji ya kuenjoy indoor weekend, napenda supu ya mbuzi lakini huwezi kukidhi viwango vyangu bila kichuri mambo yanakuwa hayajatimia, wewe nipe mtori kwa chapati unanitosha najuwa wanawake ni mahiri katika kuandaa mtori na sio supu ya mbuzi.

Matola from this post... Sadly kuna vigezo viwili ambavo vimeni disqualify kua mwanamke kamili. Moja nimekuambia uende viti virefu hali wewe uko determined ubaki vifupi. Pili sio mahiri kaika kuandaa mtori but mbuzi.... Dah!

Will work on it.... Next time nihakikishe hivo vigezo vimeboreshwa... Kwa leo itabidi tu huyo alo kamili tayari anisaidie...
 
Wazamiaji tunaruhusiwa? nimeitamani hiyo supu ya nyama ya mbuzi..

Rejao wewe tena? Hivi mbona hamunielewi jamani? lol.... Mwanafamilia anatakiwa kuto taarifa weekdays kama anakuja... Ila weekend wewe unatia tu team!! I miss Canta kuwepo nyumbani.... Vipi mzima yeye?
 
Matola from this post... Sadly kuna vigezo viwili ambavo vimeni disqualify kua mwanamke kamili. Moja nimekuambia uende viti virefu hali wewe uko determined ubaki vifupi. Pili sio mahiri kaika kuandaa mtori but mbuzi.... Dah!

Will work on it.... Next time nihakikishe hivo vigezo vimeboreshwa... Kwa leo itabidi tu huyo alo kamili tayari anisaidie...
U mislead me or u misunderstand me, first Mwanamke kamili ni Lizzy na Mwanaume kamili ni Matola note that; pili kuhusu kuandaa supu ya Mbuzi mimi nina asili ya kutoka sehemu za wafugaji so najuwa nilichokisema na ndio ukweli wenyewe, ila mtori najuwa wanawake ni mahiri sana kwenye eneo hili, nadhani this is not insult to our mothers, labda tu nikuulize swali la kizushi hivi ni kwa nini Hotel zote Chefs ni wanaume?
 
You are one lucky guy kama mwanamke wako ni Lizzy... Kuhusu ukamilifu wake on surface hakuna ubishi! Beneath the surface wewe pekee na wenye bahati ya kumjua ndio wajua.. Sijapisha ulichokisema Matola... I wonder nini kumekupa hio idea... Mtori sio wanawake woote ni mahiri katika eneo hilo... Ila wachaga wengi ndiio hasa makungwii... sasa bahati nzuri sababu I love knowing things zile ziko ndani ya uwezo wangu ndio maana nikajua kuandaa huo Mtori... lakini bado siamini kua yule ambae kajifunza toka mdogo kwa mamake naweza mfikia mimi nilo jifunza juzi kati...

Swali lako gumu Matola... Nisaidie tafadhali..... Why is it so?
 
Kama hujaja na Mama Matesha usiingie humu ndani!! I miss her....
Leo weekend huwa hatokagi nyumbani.

Niko na Kongosho asali ya ODM.

Mtori tayari? Mara ya mwisho ulivyonipikia hata wachaga wenyewe hawaoni ndani. Niwekee na maziwa nipunguze sumu ya ulabu wa jana.

Sijasikia kukaribishwa ujue.:peep:
 
Shem Kongosho ni body guard wangu pamoja na Ritz... na leo ni zamu yake kunilinda.... Zile pound kibao namlipa haziendi bure!! Hivo I Repeat.... Hakikisha leo Mama Matesha anakuja... Najua kani miss pia... akijua nimemuomba kwa heshima na Upendo kua namhitaji atakua..... Then nitasema karibu...:wink2:
 
You are one lucky guy kama mwanamke wako ni Lizzy... Kuhusu ukamilifu wake on surface hakuna ubishi! Beneath the surface wewe pekee na wenye bahati ya kumjua ndio wajua.. Sijapisha ulichokisema Matola... I wonder nini kumekupa hio idea... Mtori sio wanawake woote ni mahiri katika eneo hilo... Ila wachaga wengi ndiio hasa makungwii... sasa bahati nzuri sababu I love knowing things zile ziko ndani ya uwezo wangu ndio maana nikajua kuandaa huo Mtori... lakini bado siamini kua yule ambae kajifunza toka mdogo kwa mamake naweza mfikia mimi nilo jifunza juzi kati...

Swali lako gumu Matola... Nisaidie tafadhali..... Why is it so?

Lizzy ni Rafiki yangu tu kama ulivyo wewe, ila tofauti labda tu we are in one more step of our friendship.....
Nawahi mara moja kwenye kapub ka jirani kupata mtori then nitarudi hapa, njaa inanifanya material yakatae kichwani hivyo siwezi kujibu hoja zako kiufasaha, see you soon just here in the same thread.
 
Ukinionea Mama Matesha wifi yangu wa ukweli, mwanamke wa shoka, nisalimie tafadhali.

You are right about that sister!!! Alafu ODM analeta kiswahili kireeeeefu eti nisimuuone. Nahakikisha anakuja na salamu nafikisha... BTW hata wewe waweza kuja jamani....Umetingwa kiasi hicho? Karibu bana....
 
Matola you think I don't know?? Tatizo wapigwa ban mara kwa mara hadi wasahau nini hasa ADI ajua na lipi hajui... You are my friend... that is a fact... Najua pia kua she is your friend na like you said maybe a step closer.... And naheshimu sana hilo... wori not...

Kweli ulikua na hamu na mtori.. hadi umegoma kuja kwangu ukamuungishe kwenye Kipub? Ngoja nitenge ukija mchana late uwe tayari...:redface:
 
Rejao wewe tena? Hivi mbona hamunielewi jamani? lol.... Mwanafamilia anatakiwa kuto taarifa weekdays kama anakuja... Ila weekend wewe unatia tu team!! I miss Canta kuwepo nyumbani.... Vipi mzima yeye?
Nipo na Canta hapa, wote tu wazima kabisa! Tunajiandaa kutia team hapo, make sure na chapati za maji zinakuwepo kwa ajili ya Canta! Shem mzima lakini?
 
Hapo sawa!! Wageni wa weekend nawependa wale ambao wanaongozana na wapendwa wao siku hio kama kumbi kumbi...lol. Chapati za maji sikuandaa kabisa! Ila uzuri yoote hayo Canta kakamilika katika hio sector... Nitakua nae jikoni wakati nyie akina baba mko kutia story za vijiweni.

Naomba kukupongeza Rejao kupanda cheo toka kaka wa hiari hadi kua shem wangu wa my fav kid sis..... Karibu sana home.
 
Ukinionea Mama Matesha wifi yangu wa ukweli, mwanamke wa shoka, nisalimie tafadhali.
Nshamsalimia. Anasema anakumisi eti mbona siku hizi humdipu ili akupigie?

You are right about that sister!!! Alafu ODM analeta kiswahili kireeeeefu eti nisimuuone. Nahakikisha anakuja na salamu nafikisha... BTW hata wewe waweza kuja jamani....Umetingwa kiasi hicho? Karibu bana....
Haya nakuja na bht, sema karibu. Nje baridi huku....khaa!
 
Rejao wewe tena? Hivi mbona hamunielewi jamani? lol.... Mwanafamilia anatakiwa kuto taarifa weekdays kama anakuja... Ila weekend wewe unatia tu team!! I miss Canta kuwepo nyumbani.... Vipi mzima yeye?
Heshima yako big sisy,
Yani na mie nawamiss sana,
But hii hane muni kwa kweli imetukolea na nimemshauri rejao wangu tuongeze miezi miwili mingine yakula haya maraha aisee! Badae tutakuja kushinda hapo hm tumewakumbuka sana!
 
Nimefurahi kukuona Canta mdogo wangu.... Nimeku Miss!!! Yaani nina kazi wa kupata mpishi wa kumjali shem wako kama wewe.... Mwali ndo huyo bado mchanga katika mapishi ila anajitahidi. Husny akisikia kupika anadai tumbo lamuuma... Smile eti kakua anaenda kupanga.... Golden Mpolee kagoma eti haki sawa! Hategemei kuolewa na mwanaume anaejua kupika ni bora wote wasijue... Dah!

Kweli shemeji nimepata.... Tayari kisha jua wee mgonjwa wa chapati za maji? lol
 
Back
Top Bottom