MMU: Tujadili siasa na mustakabali wa afya zetu ......

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,356
Wapendwa waungwana wenzangu wa MMU na vitongoji vyake (Chit Chat na Mambo ya wakubwa)

Najua kuwa leo ni Ijumaa (Furahi Dei)
Najua kwamba hili si jukwaa la siasa
Najua kuwa wengi wetu mna aleji la malumbano ya kisisasa
Najua jukwaa letu pendwa hili huwa hatuna chuki wala malumbano makali ya kisiasa/kikabila wala udini
Najua hapa tunaishi kama ndugu wa familia moja

Vile vile nafahamu kuwa:
Sisi ni wahanga wa mgomo wa madaktari
Sisi ni wahanga wa yatokanayo na mgomo huo na maamuzi ya viongozi wake ambao baadhi yao tumewachagua sisi.
Sisi tunaumizwa sana na tukio hili ambalo linapoteza ndugu, jamaa, marafiki, majirani, watoto, wazazi na wapenzi wetu.

Yaani mimi ODM mimi:
Naumia sana kwa mtu mmoja kushindwa kufanya maamuzi yatakayoepusha dhahma hili
Naumia sana kwa watu wawili kushindwa kubeba dhamana ya kuwajibika kuepusha kadhia hii
Naumia sana kwa maelfu ya wataaluma wanaonewa na kudharauliwa kushindwa kutimiza majukumu yao kwa sababu ya watu wawili jumlisha mmoja.
Naumia sana kuona mamilioni ya watanzania maskini na walipa kodi kuteseka kwa sababu ya watu wachache namna hii.

Sasa naanza kuichukia nchi yangu (kama si bia ningekunywa sumu)

Eti waungwana wenzangu wa MMU (Wanatukandyaga sana hatuna time na SIHASA, msijali) Mnalionaje jambo hili? Tufanyeje sisi yailah toba??
Je Tuingie mitaani kuandamana?
Tusubiri mpaka 2015 kwa matumaini?
Tuwalambe madaktari miguu wavumilie kama sisi mpaka 2015 tufanye maamuzi magumu?
Tuhamishie kambi loliondo na kwa waganga wa jadi?
Au tutumie bia kama tiba mbadala?

Mimi bana mimi nimekasirika sana bana! Na MOD atakayeihamisha hii sredi MMU, naongozana naye lupango!.

Nikiongea kwa masikitiko toka kaunta ya juu hapa Kingstar Bar,
Ni mimi ODM wa wajukuu.
Kwa masikitiko makuu.
 
Ahaaa.Hapa hatutaki stress za siasa.mie naona ya ngoswe tumwachie ngoswe mwenyewe.Sie tujadili jinsi gani ya kuboresha familia.Hili jukwaa halifiti kabisaa hayo mambo.
Lakn naona unaitumia vema tuzo yako.....Congrats.
 
Acha kuchakachua sredi, hapa tunajadili siasa na mustakabali wa afya yetu. Uchakachuzi peleka kule ChitChat.

You have been warned!
nakwambia kwa mbinu iyo hii nchi isingekalika hata mponda angejiuzulu
 
Dah!Babu hapa imetisha,hata wale tusiotembelea kule umeamua kutuletea huhu huku,
Na huko kaunta ya juu baada ya masaa kadhaa utakua unakumbuka kweli kinachoendelea?

Kwa upande wangu nadhani hakuna option nyingine zaidi ya wananchi tuwakumbushe wenye mamlaka kuwa sie ndio maboss wao na tumechoka na hali hii na kinachotakiwa ni kuwawajibisha kwa lzm hao wanaotufikisha hapa kwenye hali hii.
 
Ivi jamani kwa nini tusitafute mchawi mmoja awageuze hao watu wawili wawe PAKA/NYAU? Si tatizo litaisha somehow!
 
Hao jamaa wawili wakikataa kuondoka, na madaktari wakiendeleza mgomo.
Itabidi tuwe na contigeny plan ya.
1.Hospital binafsi zinafanya kazi.
2.Kuna waganga wa kienyeji wanatibu mtaani.
3. Wala kilaji hawaumwi wala kuugua.
4. Watu wale mitishamba kama wazee wa zamani.
5.Mgomo mkubwa kuliko wote ni pale mortuarist watapogoma.
 
Ahaaa.Hapa hatutaki stress za siasa.mie naona ya ngoswe tumwachie ngoswe mwenyewe.Sie tujadili jinsi gani ya kuboresha familia.Hili jukwaa halifiti kabisaa hayo mambo.
Lakn naona unaitumia vema tuzo yako.....Congrats.
Mambo ya MoY Yamekujaje tena.... I thought yalikuwa masihara kule, lakini unavyoshupalia inavyoelekea umekwazika mpaka kuyaleta huku. Told u, mwenyewe najijua sideserve, na wala hayaniongezei chochote kile. Sasa nambie basi anayedeserve nimzawadie...khaa! Hii ni JF mama, dont take things too serious.

Heshima mbele kama kawa.
Haya, Turudi kwenye siasa na mustakabali wa afya za familia zetu.
 
Dah!Babu hapa imetisha,hata wale tusiotembelea kule umeamua kutuletea huhu huku,
Na huko kaunta ya juu baada ya masaa kadhaa utakua unakumbuka kweli kinachoendelea?

Kwa upande wangu nadhani hakuna option nyingine zaidi ya wananchi tuwakumbushe wenye mamlaka kuwa sie ndio maboss wao na tumechoka na hali hii na kinachotakiwa ni kuwawajibisha kwa lzm hao wanaotufikisha hapa kwenye hali hii.
Tuwakumbusheje sasa.... tuwaharibie baioloji zao?

Ivi jamani kwa nini tusitafute mchawi mmoja awageuze hao watu wawili wawe PAKA/NYAU? Si tatizo litaisha somehow!
Au tuhamishie vikojole vyao usoni? Naibu waziri mbona atatisha sana?

yani kwamba Uchi ni issue saaaaana au?
Hahahahah:crazy:

Hao jamaa wawili wakikataa kuondoka, na madaktari wakiendeleza mgomo.
Itabidi tuwe na contigeny plan ya.
1.Hospital binafsi zinafanya kazi.
2.Kuna waganga wa kienyeji wanatibu mtaani.
3. Wala kilaji hawaumwi wala kuugua.
4. Watu wale mitishamba kama wazee wa zamani.
5.Mgomo mkubwa kuliko wote ni pale mortuarist watapogoma.
Mie nimesoma hapo kwa bold tu....:lock1:

Matourist wagome kwenda kubembea nchi za watu na wake zao? Misaada tutapataje sasa?
 
mjukuu Asprin
mzima wewe,
unataka watu tuanze wikiendi na mawazo
ya kujibu uzi wako ambao hauna majibu ati eeh.
 
Sihasa na mustakabali wa afya za mipododo na kuku watamu wetu.

Mpododo ukiugua fasta nauwaisha Paris hapa bongo acha wapiga kura wa CCM wapukutike kwa mdondo labda 2015 tutapata cream nzuri ya wapiga kura
 
mjukuu Asprin
mzima wewe,
unataka watu tuanze wikiendi na mawazo
ya kujibu uzi wako ambao hauna majibu ati eeh.
Majibu yako bana....

Nilitegemea mtasajesti tukutane wapi ili tuujadili huu mustakabali....
Ofkozi na bia kazaa mezani.
Mwisho tutafikia konklusheni baada ya maji kupanda kichwani.
Kwamba tuelekee gesti tukaondoe mawazo au tuelekee wizara ya afya tukawanyoe watu nywele za sehemu ya uzazi kwa meno. Manina!
 
Mpododo ukiugua fasta nauwaisha Paris hapa bongo acha wapiga kura wa CCM wapukutike kwa mdondo labda 2015 tutapata cream nzuri ya wapiga kura
Hehehe... ukiumwa unauweka kando unatafuta kuku mtamu.
 
Back
Top Bottom