Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
- Thread starter
- #101
ahaaa lizy acha kuwakatisha tamaa wenzio mimi nilishapata siku nyingi muulize ashadii ndo shaidi mimi nilitaka tu kuwasaidia mabest zangu wa jfbebii mjanja...
Anataka kuwachunguza wakaka wa jf bila taarifa.
Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...mvuto muhimu.
Kwa cv atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...kisomo muhimu na umri.
Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....ujanja muhimu.
Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.
Lolz..