MMU special offer

nina vigezo vyote unavyota ila naomba kibarua cha kukuchukua nyumbani asubuhi na kukurudisha jioni...basi...bebii
 
kwa sasa nalipwa more than zim dollar 100,000,000,000/= pm, je should i include this current salary in that cv?
 
kwa sasa nalipwa more than zim dollar 100,000,000,000/= pm, je should i include this current salary in that cv?
acha masihara bwana kuna watu wako sirias wana shida ya kazi hapa
 
gari si itakuwa ya kwako? mimi nimeomba kibarua cha udereva tu...bebii!
 
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv diploma ya accounting au
business admn nitumie cv na passport size 3 kuna kazi ipo mkononi mwangu karibuni mwisho saa sita

Duh, Kuna mjomba angu yuko A-Town ngoja nimtumie hii link, sijui atawahi.......................!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom