Mmoja ni JK Nyerere, mwingine ni JK Mrisho. Picha zinaongea

wote wamepiga picha na maceleb,based on their own perspectives

Dah....hii statement yako inaweza ksomeka na kuonekana simpl, lakini mhusika akienda kukaa na kuifikiria vizuri anaweza akarudi amvua shati kabisa tayari kupigana.
 
nimegundua watu wengi hawajui mana ya udectator, kama ni hivyo hata marekani ni dectator maana ni police wa dunia
 
Back
Top Bottom