Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,146
Kijana aliyenusurika akiwa hoi baada ya kipigo kutoka kwa wananchi.
...Kijana huyo akiwa mikononi mwa wananchi.Vijana hao wawili waliosadikiwa kuwa vibaka wakiwa kwenye gari la polisi.Pikipiki inayodaiwa kuibiwa na vijana hao.
KIJANA mmoja ameuawa wakati mwenzake anayesadikiwa kuwa ni Ustadh kwa mavazi aliyokuwa amevaa, akinusurika kuuawa baada ya kutuhumiwa kuiba baiskeli eneo ya Kihonda mkoani Morogoro jana jioni. Kwa mujibu wa jeshi la Polisi, mtuhumiwa huyo aliye hai amelazwa katika hospitali ya Rufaa mkoani hapa kwa matibabu.
(PICHA ZOTE NA DUNSTAN SHEKIDELE, GPL / MOROGORO)
MMOJA AUAWA, MWINGINE ANUSURIKA KWA TUHUMA ZA KUIBA BAISKELI MKOANI MORO - Global Publishers
MMOJA AUAWA, MWINGINE ANUSURIKA KWA TUHUMA ZA KUIBA BAISKELI MKOANI MORO - Global Publishers