mmmmmhhhhhh

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,215
Wakubwa shikamoo
Wadogo marahaba
wageni karibuni
wenyeji hamjambo?
MMU nimewa miss sana..
 
Wakubwa shikamoo
Wadogo marahaba
wageni karibuni
wenyeji hamjambo?
MMU nimewa miss sana..

Ooh! Gosh
Umerudi, siamini

The Following User Says Thank You to afrodenzi For This Useful Post:

CPU (Today)​
 
Duh, watu mko fasta. Wewe digidigi na ekstensheni kebo mna weza kuweka wazi kama mna maslahi binafsi na kurudi kwa afro?
 
Duh, watu mko fasta. Wewe digidigi na ekstensheni kebo mna weza kuweka wazi kama mna maslahi binafsi na kurudi kwa afro?

Mi eksitensheni kebo kama kawa, navuta nyaya zake namsambazia mwili mzima
 
Ooh! Gosh
Umerudi, siamini

The Following User Says Thank You to afrodenzi For This Useful Post:

CPU (Today)

Nimerudi salama ninja wangu
naona ulikuwa busy na mmu lol
mlisahau kufunga dirisha
sikuchoka kuchungulia lol
 
AD, ulikuwa wapi?
Haya karibu sana, mi nilikumiss kiduchuuu!!!
 
Enhe nataka kujua yule mshkaji tuliyekua tunacheza nae zamani yu wapi!Mara ya mwisho AD aliniambia walikutana mjini Darisalama!
Ahaaa ahaaa ahaaa yule banaaa amekuwa mvuvi wa samaki siku hizi yuko pale feri ukitaka kumuona niambie nitakupeleka
 
G
Duh, watu mko fasta. Wewe digidigi na ekstensheni kebo mna weza kuweka wazi kama mna maslahi binafsi na kurudi kwa afro?
we mzima lakini dear?
Duuhh hapo juu umenistua kidogo dear
nini tena kulikoni?
 
Karibu sana kajukuu. Usisahau kumnong'oneza babu yaliyokukuta hadi ukapotea kiasi hicho.

Babu amefurahi sasa kuona wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom