Mmmh: Still loved . . .

hata kama successor yupo, ila tatizo huwa ni kulinganisha. A na B, ila A alikuwa zaidi.

Ila ndo maisha lazima yaendelee hata bila A kuwepo lol.

Ila siku nyingine ndo unamkumbuka kama hivi leo.

basi pole sana ila ingizo jipya litakupaliwazo sana tu. manake huwa mimi naamin hivyo.
 
ha ha ha, hapa nina makabrasha milioni kidogo, bado nachambua wa kuita kwenye intavyuu.

Successors alikuwa anarecruit along the way. Imebakia ku-promote mmoja tu, ngoja awafanyishe interview,lol
 
Wee wifi, acha ukorofi.

Wakati mwingine ni nzuri kuwakumbuka ambao hawapo.

Mwambie bana wifi. . .
Na hivi hayupo karibu, hamna kitakachoharibika!!Fikiria akikwambia "I felt/feel the same way about you" utaridhika kiasi gani hata kama hutompata!!

Mi nasubiria siku moja niwafungukie wote nlowahi hata kuwa na crash juu yao. Ili tu wajue japo ni siku hizo na sio leo.
 
Pole Kongosho for missing this person so much. But as the poem says, he/she is present with you every day. Wacha na mimi nichukue hii opportunity kum-dedicate a very dear friend or mine... He died 5 years ago and I still love him, still miss him, and I am sooooo sure he is with us everyday... I know Katastrophist feels the same about him too.
 
Lizzy, bora uwaambie mapema wakati unaweza sema.

Mie hata kusema nimechelewa, lakini leo nimeona nisemee hapa tu, angalau kushusha pumzi.

Ulishawahi ambiwa unapendwa afu hukutilia maanani, afu mtu akishaondoka ndio unajua alimaanisha? And it's too late huwezi mwambia tena?
 
Last edited by a moderator:
Lizzy
Mie hata kusema nimechelewa, lakini leo nimeona nisemee h
Ulishawahi ambiwa unapendwa afu hukutilia maanani, afu mtu akishaondoka ndio unajua alimaanisha? And it's too late huwezi mwambia tena?
Konnie mie wangu bado hajaondoka ila hua nafikiria nisipoamua soon ataondoka alafu baadae ntamkumbuka mpaka nishangae.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli,labda yupo karibu kuliko niwazavyo.

Lakini kuna siku unatamani kumwambia tu, awe anasikia au hasikii kuwa bado 'wampenda na kumkumbuka'

Pole Kongosho for missing this person so much. But as the poem says, he/she is present with you every day. Wacha na mimi nichukue hii opportunity kum-dedicate a very dear friend or mine... He died 5 years ago and I still love him, still miss him, and I am sooooo sure he is with us everyday... I know Katastrophist feels the same about him too.
 
sema haraka, hata kama akiondoka lakini umemwambia ulichofikiri.

Konnie mie wangu bado hajaondoka ila hua nafikiria nisipoamua soon ataondoka alafu baadae ntamkumbuka mpaka nishangae.
 
sema haraka, hata kama akiondoka lakini umemwambia ulichofikiri.

Sasa nimwambie nini wakati anavyoonekana kunipenda mimi, mimi nampenda mwingine kwa style hiyo. Ngoja nione kama nimpendae hawezi kuwa wangu nipende nnapopendwa. Alafu na mie nikumbukwe siku moja. . . .MTIHANI!!
 
hata kama successor yupo, ila tatizo huwa ni kulinganisha. A na B, ila A alikuwa zaidi.

Ila ndo maisha lazima yaendelee hata bila A kuwepo lol.

Ila siku nyingine ndo unamkumbuka kama hivi leo.

Na hupaswi kumsahau dear,endelea kumkumbuka na kumuombea ila maisha lazima yaendelee. Hiyo paragraph ya pili imenigusa sana. Be blessed Konnie dear.
 
he he he, hapo huwa kazi.

Unapenda A, wakati A yupo yupo tu.

Afu huku na wewe B anakupenda wakati na wewe upo upo tu.

Hii huwa ni kachumbari.

Sasa nimwambie nini wakati anavyoonekana kunipenda mimi, mimi nampenda mwingine kwa style hiyo. Ngoja nione kama nimpendae hawezi kuwa wangu nipende nnapopendwa. Alafu na mie nikumbukwe siku moja. . . .MTIHANI!!
 
he he he, hapo huwa kazi.

Unapenda A, wakati A yupo yupo tu.

Afu huku na wewe B anakupenda wakati na wewe upo upo tu.

Hii huwa ni kachumbari.

Kachumbari haswa. . . ila inabidi mtu ufanye maamuzi magumu na uwe tayari kuendelea nayo maana siku ya siku ulompenda anaweza kurudi akilia mapenzi juu yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom