Mmmh Anayatoa Anayaongeza??....

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Kiboko.JPG
 
Hakuna pepo linalotoa pepo. Ni washkaji na kanuni yao kubwa ni kulindana kimkakati na kimaslahi.
 
Kuvuta mpenzi shimoni,
Utajiri benki.
Kuondoa mikosi na kisirani upuuzi mtupu kisirani wakwanza ni huyo mganga na majini yake. Hawa jamaa wanatandaza mabango mji mzima na serikali haisemi chochote. Au ndio ajira milioni moja hizi.??
 
  • Thanks
Reactions: awp

Similar Discussions

Back
Top Bottom