Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,791
- 41,171
mabasi yake yalitumika kubeba timu mamvi alipokua sisiyemuRATCO huyo bwana si ndiye mchangiaji mzuri wa,CCM?
mabasi yake yalitumika kubeba timu mamvi alipokua sisiyemuRATCO huyo bwana si ndiye mchangiaji mzuri wa,CCM?
RATCO zilikua team January na baadae team magufuli na ndo zilizunguka na Magufuli nchi nzima.....mabasi yake yalitumika kubeba timu mamvi alipokua sisiyemu
Hapana,RATCO ni rafiki mkubwa wa Lowasa na mpaka leo mabasi yake bado yananing'iniza picha za bwana Edward na ukawa!RATCO huyo bwana si ndiye mchangiaji mzuri wa,CCM?
'Dare to talk openly' ilishauawa na 'shut up law'Mkuu kuna mistari katika uzi flani ulimgusia RATCO Kama ni mmoja wa wahujumu na leo umemuanzishia uzi nazan kuna kitu unakijua unatubip aseeee hapa ni dare talk openly so funguka tu