Mmh! Kumbe Hata Migongo Wazi Ni Fashion?

Allien

JF-Expert Member
Jul 6, 2008
5,546
1,861
Duh! Sasa ni fashion gani iliyobaki?

17.jpg
 
allien mzee vp, na totoz ulishawahi kuadhibiwa?umeanza mapaja, kifua, mngongo,na mlege ukijumlisha vyote unapata mmomonyoko wa maadili
 
Mkuu next itakua "Kuacha matumbo nje ni fashion"? au sio..
 
Kuna migongo mingine ambayo inavutia na hivyo mvaaji akivaa ya mgongo wazi anapendeza sana...lakini migongo mingine mhhhh!

 
Last edited by a moderator:
Hapa napo si haba ati

kamanda hiyo kuchi imeniangusha kitu kimoja tu.......... hizo nywele bandia zimeshindwa kuficha hicho kipilipili hapo nyuma, once i see that hamu yote inaisha maana ni kama kuona fenesi na chips zimepigwa mix... same color different taste

I LOVE DEM NATURAL, WITH NO SUGAR ADDED
 
Back
Top Bottom