Mmeziona Fursa za kusomeshwa Bure na KCB? Changamkia hizi short course nchi nzima

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,540
Benki ya KCB imetoa fursa ya mafunzo kwa vitendo na ujasiriamali kwa kushirikiana na vyuo vya kati (VETA na SIDO)

Course za miezi mitatu zitakazofundishwa ni
Screenshot_20230714-133202.png

Tembelea website ya KCB kujisajili ONLINE na kusoma vigezo na masharti
Mwisho ni tarehe 26 July.
 
Jamani ni mikoa ipi ?? Maana hapo juu nimeona kama ni mwanza pekee yake je , sisis watu wa dodoma na kwingineko tunaweza kuomba pia ???
 
Naomba kuuliza mfano O-level haukusoma physics na chemistry ukiomba mfano hio fursa ya kujifunza fundi magari je unaweza kupewa nafasi?
 
Hiyo kitu haipo ilishafungwa, jiridhisheni hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20230720-092650.jpg
    Screenshot_20230720-092650.jpg
    90.3 KB · Views: 16
Back
Top Bottom