Amina Thomas
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 272
- 129
Jamaa wa kimasai alinunua chupi kwa mara ya kwanza (wenyewe wanaita sox ya ******). Alipokua town, akabanwa na haja kubwa. Basi akaingia toileti, alipomaliza haja yake akatoka zake na kusahau chupi ambayo alikua ameitundika mlangoni. Alipofika nje akawa amekaa kihasara akiwa na nia ya ku show off chupi yake mpya. Basi watu wakawa wanapita na kumshangaa mmasai kwa kitendo cha kukaa uchi. Kwa kua yeye alijua amevaa, akamwambia jamaa aliekua anashangaa 'rafiki, nasangaa hii,! Ile naacha kwa sanduku nyumbani ndio musuri saidi ya hii'.