Mmarekani wa kwanza mwenye asili ya Somalia kawa mbunge

Shida kubwa ya sisi waafrika ni kutojitambua,chuki za ajabuajabu uwezo mdogo wa kuona mambo,mwafrika anatakiwa aamke ajikung'ute vumbi vumbi halafu tusonge mbele.
UMEMALIZA..Mkuu !! Yaani Mzalendo asijenge nyumbani, Lakini wageni wajenge !!!
 
Hii Dunia ni yetu sote Wanadamu, Dunia ilipiga maendeleo ya haraka haraka kuanzia miaka 90 wakati vita baridi ya Mrusi na Marekani kwisha rasmi kipindi hicho Dunia iliachwa huru bila kuingiliwa na hao wababe wa kivita, Utandawazi ikawa ndio sera ya Dunia,... watu wakasafiri popote duniani bila vikwazo vya kubaguana maendeleo yakatawanyika kila kona ya Dunia wahamiaji wakafanya maisha yachangamke kwa kufanya kazi kwa bidii huko ugenini

Kila penye wageni maendeleo huja kwa haraka historia inathibitisha hayo
 
Sawa kabisa mkuu! Lakini wageni tunaotaka wawe wageni wenye kuthamini mila na desturi zetu waheshimu utu wetu na kikubwa wasiwe "wabaguzi".
Mkuu swala la kuthaminiwa huanza na sisi wenyewe tunapojithamini ......kama hatujithamini hakuna atakayetuthamini... muhimu hatuwezi funga milango kwa wegeni....ni wachache tu watapatikana wahuni na wasio na maadili tokea huko kwao lakini wengi wa wageni na wahamiaji halali wanafaida nyingi kuliko hasara
 
Back
Top Bottom