Mmaasai na Watangazaji

Kamuzu

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
993
298
Jamaa mmoja wa kimaasai alinunua radio mpya akawa anasikiliza muziki na taarifa mbalimbali, siku moja alipofungulia redio yake ili asikilize kama kawaida yake,redio ile ikawa inakoroma tu na kutoa sauti za ajabuajabu, ndipo alipoamua kuipeleka kwa fundi.
Fundi alipoifungua redio wakatoka mende kadhaa na kuanza kukimbia, ndipo mmaasai akatoa bakora yake na kuanza kuwafukuza akisema 'kamata hiyo watangasaji nakimbia, kamata yeye.

fundi akaduwaa!
 
Back
Top Bottom