Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Ni karibu na geti la kutokea mikumi national park kama unaenda iringa, hood imegongana na semitrela lenye mafuta ya kupikia...yoote yameunguzwa na moto uliokiwa ukichoma majani huku mbugani. Msururu mrefu wa magari umetanda njia zimefungika, hakukuwa na msaada mpaka nafika na kuondoka sijaona msaada wowote watu wanaangalia tuu magari yanavyo ungua. Nasikia watu wengi wameungua ila sijaweza ona vizuria.nina picha ila ziwezi upload na cm yangu mchina
ila cmu yako ya mchina noma,imefungua JF!DUH
 
Wana jf,nimepewa habari muda mfupi uliopita kwamba basi la hood toka mbeya kwenda dodoma limepata ajali maeneo ya mikumi,yasemekana limeungua na baadhi ya ndani...
Kabla ya kupost thread soma kwanza vyanzo vyote ndiyo uje humu jamvi. Ha2na muda wa kuwafundisha kila kukicha.
 
Ni karibu na geti la kutokea mikumi national park kama unaenda iringa, hood imegongana na semitrela lenye mafuta ya kupikia...yoote yameunguzwa na moto uliokiwa ukichoma majani huku mbugani. Msururu mrefu wa magari umetanda njia zimefungika, hakukuwa na msaada mpaka nafika na kuondoka sijaona msaada wowote watu wanaangalia tuu magari yanavyo ungua. Nasikia watu wengi wameungua ila sijaweza ona vizuria.nina picha ila ziwezi upload na cm yangu mchina

Inasikitisha sana lakini ndio hali halisi ya nchi yetu. Inapotokea ajali hakuna msaada wowote ule ambao labda ungeweza kupunguza idadi ya wale ambao wangepoteza maisha au kujeruhiwa na hii inasababishwa na kuwa na Serikali iliyojaa mafisadi ambao hawajali kabisa kuhusu maisha ya Watanzania. Karibu na mbuga ya Wanyama ambayo kila mwaka inaingiza mabilioni ya pesa si ajabu hawana hata zimamoto moja au hawana maji ya kuzimia moto.
 
ila cmu yako ya mchina noma,imefungua JF!DUH

Jamaa yangu mbona una mizahaa sana kwenye issue sensitive kama hii ya ajali, Mara wapeleke Bajaj, kuwa serious bana!! Anyway Poleni sana majeruhi Mungu awape nguvu na kuwaondolea maumivu. na wale wafiwa jamani tupo sote lakini tuamini kuwa kazi ya Mungu haina makosa.
 
Jamani habari kama hi ya kusikitisha alafu m2 mwingine unaleta utani wa kupeleka bajaji hv ni mzima kweli wewe?sio vizuri kabisa. Poleni sana ndugu zetu mliofiwa mungu awape nguvu,na azirehemu roho za marehemu mahali pema peponi,Amen
 
Inasikitisha sana lakini ndio hali halisi ya nchi yetu. Inapotokea ajali hakuna msaada wowote ule ambao labda ungeweza kupunguza idadi ya wale ambao wangepoteza maisha au kujeruhiwa na hii inasababishwa na kuwa na Serikali iliyojaa mafisadi ambao hawajali kabisa kuhusu maisha ya Watanzania. Karibu na mbuga ya Wanyama ambao kila mwaka inaingiza mabilioni ya pesa si ajabu hawana hata zimamoto moja au hawana maji ya kuzimia moto.
Mkuu! Yani hawa majambazi walioko madarakani niwa kufunguliwa mashtaka tena ingekuwa ni madaraka yangu ni haraka sana kila anayelengwa na tuhuma ni wa kumshweka ndani tu. Lakini 2subirie tu hakika lenye mwanzo na hata mwisho upo. Mwalimu alishakufa na chama nacho kimekufa watang'atuka tu. Mbona kile chama kongwe wa majirani we2 hakisiki tena (KANU)
 
Itv breaking news wametangaza ajali kuna majeruhi wengi ila 7 wana hali mbaya sana, inahuzunisha sana jamani, mwenyez mungu awape subira waliopatwa na ajal na awajalie wapone haraka.
 
Wapeleke bajaji zikazime moto

Ulimaanisha hii ikazime moto wa semi?

Bajaji.jpg
 
wa JF mlioko Morogoro tunaomba mtujuze maana kunarafiki yangu amenitumia sms kuwa basi ya hood yakutoka Arusha kwenda Mbeya imegongana na Roli la mafuta sehemu ya mikumi na baadhi ya watu wameshafariki.
 
Lakini sisi watanzania sio watu wa kuchukua tahadhari, pale mikuni miaka yote wanachoma majani miezi hii, sijui kwa nini wanashindwa kutumia utaratibu unaofaaaaaaa,
 
Back
Top Bottom