Mlipuko wa mabomu umepita sasa tujiandae na mlipuko wa ulaji wa fidia kwa wahanga!!

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Kama kawaida ya waTZ tukio la mlipuko wa mabomu Gongolamboto lazima liende sambamba na ulaji kwa wakubwa. Waswahili wanasema 'kufa kufaana'. Kinachofanyika sasa, 'wazee wa kazi' wanajipanga namna watakavyotafuna hela za fidia na misaada kutoka kwa wahisani wa ndani na nje ya nchi watakaojitokeza. Hiyo ndiyo bongo bwana, wakati wengine wanalia kwa uchungu wa kuondokewa na ndugu na jamaa zao wengine wanaandaa meno ya kutafunia fidia.
 
Back
Top Bottom