Mliowahi kutumia Redmi nataka kuchukua note 12 pro Naomba kujuzwa ubora wake

Simu nzuri sana hasa ikiwa na ram 8GB au zaidi...
Inakimbia hatari.
Niliwahi tumia redmi note 10S..
Nataka nirudi tena chamani.
 
Naomba kujuzwa ubora wa hii simu kwa anaeifaham ram 8 gb

256gm
Note 12 pro zipo za aina 2 ya 4G na 5G, bongo naona nyingi zipo 4G na bei yake inarange kati ya 550k hadi 650k labda kama zimeshuka zaidi ya hapo sasa hivi,hizo za 5G zinaanzia 800k na kuendelea,nadhani zitakuwa ni kali zaidi,kuzijua utofauti wake kwa haraka 5G ina main camera 3 na 4G ina camera 4.
 
Back
Top Bottom