Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,876
- 18,884
Aliyeruhusu mabucha ya wanyama pori ni nani? Acha ngonjeraUtaratibu wa kuuza nyama pori kabla ya magu na baada ya magu ni tofauti na sio hivyo tu alidhibiti uwindaji holela na pia ishu za maharamia zilifutika kabisa na kama zilitokea ni kwa utata sana, kitu ambacho kilisababisha wanyama pori wakaongezeka sana tena kwa wiiiiingi ambapo sizani kama itakuja kutokea tena hii nina kumbukumbu nzuri pia nina uelewa mzuri sana!