Mliomkejeli Hayati Magufuli, Ziwa Victoria lilifunguliwa, Samaki wametoweka

Uongo ni upi hapo?

Sio "repleaciable" bali ni "replaceable"

Unakurupuka ku quote bila uelewa wa content husika!

Siongelei nafasi bali naongelea uthubutu na udhibiti kuhudu usimamizi wa raslimali za nchi hii.
Shu-up kama hunielewi.
Kwa hiyo tukamfufue au tufanye sasa?
 
Yes Mimi habari za kufunga ziwa naona zilikuwa upuuzi unabidi kutumia Akili katika haya mambo ya Maisha ya watu na sio kukurikia kila Jambo.
Wabongo wanadhani ziwa Victoria ni lakwao tu unaachakuvua wewe Uganda anavua kwake kenya anavua kwake tatizo Kuna wabongo walimwacha Mungu nakumwaabudu binadamu naye akajiinua nakufurahi pale watu walimfananisha na Yesu mara Mungu amshukuru Magufuli wakati Mungu wetu ni Mungu Mwenye wivu pale anapomwona mwanadamu aliyemuumba anatukuzwa kuliko yeye ndiyo maana akamoondoa mapema
 
Yaani yule mtu alikua ni version ya peke yake shida tu siasa zake ndio zilikua mtihani na ilibidi iwe hivyo maana sisi wabongo bila kupata mtu kama yule hatuendi!

Wanyama wenyewe wa porini waliongezeka sana ila sasahv mabucha ya nyama pori yapo mpaka uchochoroni kwa bei sawa na bure
Utakuwa una kumbukumbu fupi sana, aliyeruhusu nyama za wanyama wa porini kuuzwa ni nani kama sio huyo Magufuli?
 
Moja ya mambo ambayo Magufuli aliyoyasimamia ni pamoja na uvuvi haramu wa samaki katika Ziwa Victoria na Bahari ya Hindi. Jambo ambalo lilipelekea kufungwa kwa shughuli zote za uvuvi nchini kwa takriban miezi sita au zaidi.

Sote ni mashahidi kwamba zoezi lile lilileta mafanikio kwa samaki kuongezeka na hivyo kurudisha uhai katika sekta ya uvuvi nchini Tanzania. Ikiwa pia ni mchango mkubwa kwenye pato la taifa, kupitia kodi iliyopatkana kupitia usafirishaji wa minofu ya samaki kwenda nchi za nje. Lakini zoezi hilo halikuwa rahisi, kwa sababu wale wafanyabiashara wa nyavu haramu pamoja na mawakala wao.

Waliwatumia baadhi ya wabunge na viongozi wa vyama pinzani, hususan Chadema. Ili kulipinga zoezi lile. Wakimtuhumu Marehemu Magufuli kwamba anawafilisi wavuvi na kuiua sekta ya uvuvi nchini. Hii ilipamba moto hasa pale aliyekuwa waziri wa mifugo na uvuvi wakati huo, Mheshimuwa Luhaga Mpina, alipoamua kwa ujasiri, kuanzia pale Bungeni kuwapima Samaki waliokuwa wanahudumiwa kwenye migahawa kadhaa pale Dodoma, ili kujiridhisha na ukubwa wao kama ni halali na kama wamepitia njia sahihi.

Sasa ni miaka takribani miwili tangu Marehemu Magufuli amefariki. Samaki ziwa victoria wako hatarini kutoweka! Yote hii ni kutokana na uvuvi holela na haramu kupitia nyavu haramu na Baruti, sababu kila kitu kilichofanywa na Magufuli kiliitwa 'Ubabe'.

Sasa nawataka wale waliokuwa wakipinga waje watuambie njia mbadala ya kutulisha samaki! Maana samaki wazazi ziwa victoria wamebaki kwa 4% pekee. Muda ni shahidi mzuri sana, maana huwa unaongea kwa vitendo. Miaka miwili.

Magufuli alizuia wavuvi wasivue, alitegemea wale wapi? Kuna siku yeye alifanya kazi bila mshahara kwa miezi sita? Kama samaki wameisha huo ndio uhalisia. Usitake kuonyesha kama alifanya jambo la maana sana.
 
Hilo Ziwa sio letu peke yetu ni la Nchi tatu ukizuia Samaki wasiliwe na Watanzania wataliwa na Wakenya na Waganda.
 
Moja ya mambo ambayo Magufuli aliyoyasimamia ni pamoja na uvuvi haramu wa samaki katika Ziwa Victoria na Bahari ya Hindi.
Jambo ambalo lilipelekea kufungwa kwa shughuli zote za uvuvi nchini kwa takriban miezi sita au zaidi.

Sote ni mashahidi kwamba zoezi lile lilileta mafanikio kwa samaki kuongezeka na hivyo kurudisha uhai katika sekta ya uvuvi nchini Tanzania.

Ikiwa pia ni mchango mkubwa kwenye pato la taifa, kupitia kodi iliyopatkana kupitia usafirishaji wa minofu ya samaki kwenda nchi za nje.

Lakini zoezi hilo halikuwa rahisi, kwa sababu wale wafanyabiashara wa nyavu haramu pamoja na mawakala wao.

Waliwatumia baadhi ya wabunge na viongozi wa vyama pinzani, hususan Chadema. Ili kulipinga zoezi lile.

Wakimtuhumu Marehemu Magufuli kwamba anawafilisi wavuvi na kuiua sekta ya uvuvi nchini.
Hii ilipamba moto hasa pale aliyekuwa waziri wa mifugo na uvuvi wakati huo, Mheshimuwa Luhaga Mpina, alipoamua kwa ujasiri, kuanzia pale Bungeni kuwapima Samaki waliokuwa wanahudumiwa kwenye migahawa kadhaa pale Dodoma, ili kujiridhisha na ukubwa wao kama ni halali na kama wamepitia njia sahihi.

Sasa ni miaka takribani miwili imepita.
Tangu Marehemu Magufuli amefariki.

Nchi iko chini ya utawala wa Awamu ya sita.ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Alifungua nchi kama wanavyonadi
"Chawa wa Mama"

Samaki ziwa victoria wako hatarini kutoweka! Yote hii ni kutokana na uvuvi holela na haramu kupitia nyavu haramu na Baruti, sababu kila kitu kilichofanywa na Magufuli kiliitwa 'Ubabe'.

Sasa nawataka wale waliokuwa wakipinga hatua za udhibiti wa nyavu haramu na uvuvi haramu pia.

Waje watuambie njia mbadala ya kutulisha samaki! Maana samaki wazazi ziwa victoria wamebaki kwa 4% pekee.
Muda ni shahidi mzuri sana, maana huwa unaongea kwa vitendo.
Miaka miwili ya ziwa kufunguliwa holela,imepelekea madhara makubwa kwa wananchi.mbali na kukosekana kwa kitoweo muhimu kwa afya za watanzania.

Lakini pia ni pigo kubwa kwenye sekta ya samaki kuhusiana na kukosekana kwa kodi ambayo ingetokana na usafirushaji minofu ya samaki kwenda nje ya nchi.

"UHURU bila UTII ni WENDAWAZIMU"...JK.Nyerere.
Ngoja tukuchek kweny VAR kwanza! VAR Loading......👇👇
 
Attachments

  • IMG_20230114_175213.jpg
    IMG_20230114_175213.jpg
    21 KB · Views: 1

Hii haiondoi ukweli wa kwamba Jiwe alikuwa muuaji, jambazi mpora fedha na biashara za watu, mtekaji, mtesaji, dictator aliyeua democracy mpaka leo wabunge wote ni wa kuteuliwa(literally hakukuwa na uchaguzi 2020), alisababisha nchi ikawa na wakimbizi leo wanapokelewa kama wafalme, alilea majambazi yaliyofanya robberies mchana kweupe(wasiojulikana/Sabaya/Makonda)
Yaani atakumbukwa zaidi kwa mabaya yake pamoja na kelele zenu nyingi nyinyi walinda 'legacy' wa Sukuma gang.
NB: Marais wote hufanya kazi na hulipwa kwa kufanya hizo kazi kwani waliomba ridhaa wenyewe na wakachaguliwa(hata hao waliopita kwa kuiba kura) ili wafanye kazi hizi, si sifa mtu anapotimiza wajibu na analipwa kwa kutimiza wajibu huo bali asememwe na akaripiwe yule asiyetimiza wajibu huku akilipwa ujira wake.
-Hivi wale watu aliowaua na kuwatesa kati yao na samaki aliokuwa akiwatetea na kuwalinda kipi alipaswa kukilinda? This just popped into my mind.
 
Back
Top Bottom