Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

Zingine siweki hapa maana zinatisha ila mbali na madudu yote wanawake wa kirombo ni walezi wazuri sana wa watoto na walinzi wazuri wa mali zako ila tuu mwanaume ukubali mchakamchaka, kupelekeshwa, kukakiwa, kushinda njaa, purukushani za hapa na pale mpaka unaingia /anakuingiza kaburini kwa namna yeyote ile.
 
Hakuna mwanamke asiye mlezi mzuri wa watoto wake👌
 
Ndiomana zamani watu walioana mabinamu ili kupunguza migogoro, hii kukaribisha koo zingine ndo mnaleta wachawi na wauaji..!!
Sijui nilitaka kusema nini?? Mkuu oa huyo binti hakuna ajuaye kesho yake
Bila kuoleana tungekua na ukabila na udini mkali na hii amani ya kulala na kuamka bila mikikimikiki ya vita isinge kuwepo
 
Babang mdgo alio mmachane...aisee ni hatari

Siku anafariki Ile tupo hospital anafariki tu
Akakimbia akawasha gari akaondok ikabidi tumfatilie labda anauchungu sana anaweza kujidhuru alooooo...

Kakimbia nyumbani chap akatoa card za magari na hati za nyumba akahamisha chap... Kile kitendo sijawahi kukielewa Hadi Leo.

SEMA mshua alimjua kitambo kumbe Mali nyingi alimtumia mdgo wake kusimami na sio yeye mkewe kuna vitu vingi mnoo hkumshirikisha.
 
Ndisindisombe
Vijiji vya machame vimejaa wajane
Habr ndo hiyo
Hivi Mama Maria Nyerere, Mama Mkapa, Mama Fatma Karume, Mama Magufuli, Mama Lowassa, Mama Mwinyi hawa wote ni wamachame??

Mama Mercy Mengi aliyekuwa mke wa kwanza wa Mengi alifariki na kumuacha Mzee, sipati picha Jackline angelikuwa Mmachame na ile situation ya kifo cha Mengi Dubai habari zingekuwaje..
 
Back
Top Bottom