Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

Unahangaika bure hapa!kama una amani na unampenda wew oa ila ukae mkao wa filbert bayo maana kiuhalisia hawa wamachame wanapenda mwanaume mpambanaji haswaa na huwa wanalinganisha maendeleo kati yako na rafiki au jirani zako!...ni wazuri usoni na weupe hasa koo za mushi,swai na lema!!.....wanapenda pesa,hii ni iko damuni!
 
Mkuu,
Jazia nyama Nina ka story nataka Ni connect Dot
*Ukimfanyia madudu akalia san alafu akakuambia amekuchoka jua wewe ni marehemu unaetembea, muda wowote tunakuzika

*Atakuita mwanaume suruali ukistaaf au kuzeeka (mwanaume ukisha zeeka/ kuugua muda mrefu thamani yako inaisha)

*Ukikosa hela ni rahisi kukusaliti ili apate shilingi

* Kulala na wewe chumba kimoja labda ugandane nae sana. Mara nyingi wanapenda kila mtu na chumba chake

*Ni wagomvi sana chumbani huwezi kutoboa asubuhi kirahisi rahisi, kunyimwa unyumba ni jambo la kawaida sana

* Boma kujulikana kwa jina lake ni rahisi sana, mwanaume kwake siyo kitu cha maana sana

*Ni viburi sana akiomba hela na usipo mpa ataenda kuomba/kukopa kwa mwanaume mwingine ili akukomoe na wewe utakua na jukumu la kulipa deni ili mkeo asifatiliwe sana

* Ukitokea ugomvi kidogo kushikiwa panga ni jambo la kawaida sana na ukicheza utachinjwa kweli huku unaona hivi hivi

* Ukiongea nae hujibiwi chochote itakua kama unaongea na kivuli. Ukiforce majibu umechokoza nyuki.

* Ukishinda nyumbani alafu yeye ametoka akija akikuta hujapika ni ugomvi usio amulika

*Kulazwa njaa na hela ya matumizi umetoa sio shida zao

*Ndugu zako kuitwa wachawi au chuma ulete ni jambo la kawaida sana ( wanachuki na ndugu wa mwanaume)

* Dada zetu wakiolewa wanachukia sana baba zao walio wazaa na nyumbani kwao bila sababu za msingi epuka kumuambia aende kijijini akasalimie wazazi kama unataka amani

* Hawasikii na hawataki ushauri wowote yupo teyari hata awake moto afe kuliko akubaliane na unachomshauri

* Ni wabishi sana , dharau na ujuaji upo mioyoni mwao japo kwa macho ya nyama huwezi ona kirahisi

*Nawapendea hapa ni mwiko kuruhusu mumeo akatoa mali ya nyumbani nje, ukileta mali nyumbani na akajua ni ya familia hesabu hutoweza kuitoa kirahisi kwa namna yeyote ile na ukicheza atakuua kutetea mali ya watoto

* Wana laana za kwao kukutoa kafara kisa mali ni jambo dogo sana kwao.

* Ukioa mwanamkewa kirombo hakikisha unajua kupigana au wewe uwe askari tofauti na hapo mwanaume utadundwa kama kitenesi mpaka ukimbie boma kimnya kimnya

* Kukurudia usiku kwa kisingizio cha anatafuta hela ni kawaida sana na hakuna utakacho mfanya ukizingua unazingukiwa

* Sahau kumfanya mwanamke wa kirombo mama wa nyumbani kama unataka amani hao ni makubota

* Wana laana sana za kumwaga damu ogopa sana mwanamke anaweza kuchinja mbuzi na kunywa damu mbichi. (Weka akilini hili)

Nb: Ukioa mwanamke wa kirombo kama wewe sio mwanaume utakufa haraka sana tukusahau. Dada zangu wanatisha mno ili uweze kuishi na mwanamke wa kirombo lazima uwe na mke zaidi ya mmoja ili wawe wanagombana wao kwa wao au wewe mwanaume uamue kuwa zoba ndani
 
Ndugu zangu salaam sana

Nimeamua kwa akili zangu mwenyewe kuishi na mwanamke kabla mwaka huu haujaisha

Ila kama tujuavyo huko enzi na enzi hawa wanawake wa kimachame walijulikana kama wapalestina na ukienda huko kwao nyumba nyingi utakuta zinamakaburi ya wazee waliotangulia mbele za haki huku wakiwaacha wake zao wakichezea pension na mali walizo zitafuta kwa shida

Ndugu zangu mimi na mwanamke wa pande hizo hizo ila kinachoniweka njia panda ni hii historia yao ngumu sana ya vizazi vilivyo pita

Huyu wangu yupo hivi

1: Haongei sana ni kidogo tuu kamaliza kuongea na muda mwingi ni mkimnya sana

2: Hana anachokipenda ila anavyo avichukiavyo ikiwemo dharau, kutokuheshimika na mwanaume kutokujiheshimu

3: Anapenda dini sana na muda mwingi atakuambia napenda mtu mwenye hofu ya Mungu mengine ni majaliwa kupata na kukosa kupo na ndivyo maisha yalivyo

4: Hawezi angaliana na mimi machoni kabisa muda mwingi anaangalia pembeni kama mwanamke mwenye aibu/ asiyejiamini

5: Haombi hela kabisa hata iwaje haombi hela mpaka na mshangaa mwenyewe

Nb. Napata amani sana niwapo nae ila napata tishio tena la nafsi nikigundua historia ya hili kabila lao mchaga wa kimachame

Mlio oa au kudate na hawa viumbe njoeni hapa tufarijiane isije ikawa ni mimi najichanganya tuu kwa hofu zangu mwenyewe
Sasa unataka ushauri wa nini mdogk wetu?

Umeshasema historia ya wamachame unayo na kikawaidi mwenye asilo haachi asili

Lazima vi element vitakuwepo

Mfano yule demu wa kichaga aliyemuua mpenzi wake kwa kumchoma visu hv majuzi tu hapa mbezi dar au haujaskia

Inshort wanaweke wa kaskazin waoane wenyewe kwa wenyewe

Piga chini tu uyo ndugu yangu usije uka rest bule wakati familia yako inakuhitaj
 
*Ukimfanyia madudu akalia san alafu akakuambia amekuchoka jua wewe ni marehemu unaetembea, muda wowote tunakuzika

*Atakuita mwanaume suruali ukistaaf au kuzeeka (mwanaume ukisha zeeka/ kuugua muda mrefu thamani yako inaisha)

*Ukikosa hela ni rahisi kukusaliti ili apate shilingi

* Kulala na wewe chumba kimoja labda ugandane nae sana. Mara nyingi wanapenda kila mtu na chumba chake

*Ni wagomvi sana chumbani huwezi kutoboa asubuhi kirahisi rahisi, kunyimwa unyumba ni jambo la kawaida sana

* Boma kujulikana kwa jina lake ni rahisi sana, mwanaume kwake siyo kitu cha maana sana

*Ni viburi sana akiomba hela na usipo mpa ataenda kuomba/kukopa kwa mwanaume mwingine ili akukomoe na wewe utakua na jukumu la kulipa deni ili mkeo asifatiliwe sana

* Ukitokea ugomvi kidogo kushikiwa panga ni jambo la kawaida sana na ukicheza utachinjwa kweli huku unaona hivi hivi

* Ukiongea nae hujibiwi chochote itakua kama unaongea na kivuli. Ukiforce majibu umechokoza nyuki.

* Ukishinda nyumbani alafu yeye ametoka akija akikuta hujapika ni ugomvi usio amulika

*Kulazwa njaa na hela ya matumizi umetoa sio shida zao

*Ndugu zako kuitwa wachawi au chuma ulete ni jambo la kawaida sana ( wanachuki na ndugu wa mwanaume)

* Dada zetu wakiolewa wanachukia sana baba zao walio wazaa na nyumbani kwao bila sababu za msingi epuka kumuambia aende kijijini akasalimie wazazi kama unataka amani

* Hawasikii na hawataki ushauri wowote yupo teyari hata awake moto afe kuliko akubaliane na unachomshauri

* Ni wabishi sana , dharau na ujuaji upo mioyoni mwao japo kwa macho ya nyama huwezi ona kirahisi

*Nawapendea hapa ni mwiko kuruhusu mumeo akatoa mali ya nyumbani nje, ukileta mali nyumbani na akajua ni ya familia hesabu hutoweza kuitoa kirahisi kwa namna yeyote ile na ukicheza atakuua kutetea mali ya watoto

* Wana laana za kwao kukutoa kafara kisa mali ni jambo dogo sana kwao.

* Ukioa mwanamkewa kirombo hakikisha unajua kupigana au wewe uwe askari tofauti na hapo mwanaume utadundwa kama kitenesi mpaka ukimbie boma kimnya kimnya

* Kukurudia usiku kwa kisingizio cha anatafuta hela ni kawaida sana na hakuna utakacho mfanya ukizingua unazingukiwa

* Sahau kumfanya mwanamke wa kirombo mama wa nyumbani kama unataka amani hao ni makubota

* Wana laana sana za kumwaga damu ogopa sana mwanamke anaweza kuchinja mbuzi na kunywa damu mbichi. (Weka akilini hili)

Nb: Ukioa mwanamke wa kirombo kama wewe sio mwanaume utakufa haraka sana tukusahau. Dada zangu wanatisha mno ili uweze kuishi na mwanamke wa kirombo lazima uwe na mke zaidi ya mmoja ili wawe wanagombana wao kwa wao
Nina ka story Ila sito kaweka humu waziwazi 😊😊😊

Ntakucheck 😊😊😊
 
Back
Top Bottom