Mlimbwende meza moja na mayatima.........X_Mas........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
<table width="310" align="right" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr> <td valign="top" align="right">
12_10_g69ftr.jpg

</td> </tr> <tr> <td class="formStyle" valign="top" align="left"><table width="98%" align="right" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td class="formStyle" valign="top" align="left">Baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima cha Msongola Orphanage Trust Fund kilichopo Mvuti, Ilala, Dar es Salaam wakipokea msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 2 kutoka kwa Vodacom Miss Tanzania, Genevieve Emmanuel kupitia kampeni ya ‘Share & Care’ wakati wa Sikukuu ya Krismasi kwenye kituo hicho. (Na Mpigapicha Wetu).</td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
 
Back
Top Bottom