Mbeya hatuna Mbunge mpaka 2015
wewe si wa mbeya nani asiyekufaamu unaishi pwani. 2achie sugu we2.
Mbeya hatuna Mbunge mpaka 2015
anajenga au serikali inajenga. Aache kuwadanganya wananchi. Ametoa pesa yake mfukoni.
Mnapoteza muda kumsikiliza form four failure.
Sugu na Lema nani ana nafuu au ndio magari mabovu yanavutana
Amgesema tu kuwa serikali kwa ufadhiri wa benki ya dunia inajenga baraba Mbeya, Sugu hana mkono wowote kwenye ule ujenzi, na mkataba wa ujenzi ulishasainiwa kabla hajapata ubunge...
Kuna Professor mmoja pale Muhimbili yeye ni mkuu wa kitengo cha Psychiatric, Kutokana na watu anao deal nao, ukionana naye hakuna kitakachokuzuia kufikiri kuwa yeye si mmoja wao......Sijaona cha maana zaidi ya muendelezo wa ugomvi wao na Ruge. Huyu jamaa sijui ni lini atajitambua kuwa ni mbunge.
Kuna Professor mmoja pale Muhimbili yeye ni mkuu wa kitengo cha Psychiatric, Kutokana na watu anao deal nao, ukionana naye hakuna kitakachokuzuia kufikiri kuwa yeye si mmoja wao......
Kuna kipindi kama si mara zote ni lazima uchafuke ili usafishe
Kwa heshima na taadhima ningekuomba tu ukiri kuwa hujaelewa.Sasa mbona wewe ndiye unayetakiwa uwahi kumuona huyo dakatari wako kwasababu umechangia vitu tofauti kabisa na mada inayojadiliwa.
Mku.ndu wako ndio umefail!Mnapoteza muda kumsikiliza form four failure.
walikuwa wapi kujenga kutoka zamani? Mbunge kazi yake ni kusemea matatizo ya wananchi kasema ndiyo maana wamejenga. Kazi ya mbunge si kujenga barabara kwa pesa yake bwana.
Nadhani huijui hii issue, mkataba wa ujenzi wa hizo barabara umesainiwa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010, na sasa ndio umeingia kwenye implimentation phase. Sasa kama unaamini katika mkono wa Mbunge kwa ujenzi huo basi itabidi umpongeze Benson Mpesya.
Jambo pekee liko kwenye mpango kazi wa Sugu ni ujenzi wa mabwawa ya samaki, ugawaji wa laptop moja kwa kila mwanafunzi mjini Mbeya, kuanzisha vikundi vya vijana vya kilimo cha maua, ngoja niamini kuwa ataitekeleza, bahati mbaya sana kwake hajui kujenga hoja za kuishawishi council ambayo inayoongozwa na CCM, lakini muda utaongea.
...Naona na kesho atajisifia pia kwa ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Mbeya, atajisifia kwa usambazaji bwa mtandao wa maji ulioanza 2007, siHasa bana..
Ingekua ni kauli iliyotoka kwa Mbunge wa Magamba ungemaje?Mbona kina Amos Makala wanatoa kauli kama hizo na hauwahoji?Acha UM*******Y* wewe!anajenga au serikali inajenga. Aache kuwadanganya wananchi. Ametoa pesa yake mfukoni.
Tujuze elimu ya Prof Majimarefu Mbunge wa Korogwe.Mnapoteza muda kumsikiliza form four failure.
kila ki2 utampinga kwa taarifa yako kipaumbele cha sugu ni miundombinu na hili ndio alilosema hata wakati anaomba kura. Tatizo la mpesya hakuwa msemaji na mfatiliaji ndio maana miaka 10 kaka mbeya niambie kajenga barabara km ngapi? Sugu kaingia juzi utekelezaji umeanza kwa kuwa ni msemaje. Acha dhana ya kuwa madiwani hawapendi maendeleo kuwa watapinga kila ki2 akitoacho mbunge. Uliza nini kilitokea baada ya mwanjelwa na uhindini soko kuungua? Mabwawa aliahidi kama moja ya kuleta ajira mby vp hajatekeleza? Kilimo cha maua kinasubili uwanja ukamilike au umesahau hili? Kuhusu uwanja halikuwepe kwenye mipango yake kwa kuwa lipo mby vijijini. Nimesahau bandali kavu alisemea bungeni bila shaka soon itaanza kutekelezwa.
Nadhani huna taarifa za ujenzi huo wa barabara ndio maana unakurupuka kumpa hongera Sugu kwa kazi isiyo yake, no research no right to talk.
Sugu ni msemaji na kwa usemaji wake maendeleo yanakuja mbeya? hii pia nikiri ni habari mpya kwangu na naamini kwa wengi wanaoangaliaga Bunge, nikiri sijamsikia Sugu akikomalia jambo lolote bungeni lenye maslahi na Mbeya, nikiri sijamsikia Sugu akitoa hoja za nguvu zenye hadhi ya kupewa heshima hiyo kwa maslahi ya Wana Mbeya, labda kama uwa anayaongelea akiwa Club Vibes..
usingekuja kwenye post inayomuhusu Sugu ningeshangaa sana!una bahati wengi hawakujui,ila kuna siku utaanikwa then hutoamini..na mnavyoangaika kumuhujumu ishu ya nov5 ndio mana jamaa anawatukana