Mlimani TV: Joseph Mbilinyi Mr II

A-town

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
494
169
Wana JF mbunge wa Mbeya mjini mr II yupo live mlimani tv kipindi keki ya taifa na Hamisi Dammbaya
 
Anasema lazima RTD iwalipe wasanii wa zamani kwa kutumia kazi zao toka enzi za zilipendwa..
RTD wameuza sana kazi za wasanii wa zamani
 
Anasema katika bajeti zote serikali ilikubali bajeti yake kwa 99%..na ndio inaifanyia kazi
 
Anawachana Clouds anasema hawezi kuacha kuwasema sababu wao ndio wameleta umasikini kwa wasanii
 
Safi sana ruge ni mtoto sasa kwa sugu hauwezi moto wa sugu ndo mmemtapeli lakin hatakubali umewatapeli wasanii tena atapambana nao hao clouds mpaka kieleweke'
 
Anaongelea mafanikio yake ya jimbo la mbeya kuna barabara ya km 29 inajengwa'wanajenga zanahati'nyumba za waganga kukaa'mabwawa ya samaki'
 
Anasema sasa hivi yupo Mbeya anajenga barabara KM 25 kiwango cha lami pamoja na taa za barabarani..

Pamoja na mabwawa ya samaki
 
huyu ruge anaua sanaa now anamtumia mwana fa sugu anasema kampa mil 30 ili apambane na sugu wasanii kuweni makini mwana fa anatumiwa ndo maana ay ameamua kufanya kazi mwenyewe we jiulize cluds ndo wanamiliki kampuni ya wasanii hiyo t.f.u na mwanafa kaahidiwa na ruge kuwa anapewa ubunge wa viti maalumu na rais. wasanii wa bongo watakuwa maskini coz hawana umoja wanapelekwa 2 na clouds
 
Sijaona cha maana zaidi ya muendelezo wa ugomvi wao na Ruge. Huyu jamaa sijui ni lini atajitambua kuwa ni mbunge.
 
Back
Top Bottom