Mlimani radio-kutoka bungeni

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Nipo nackiliza mlimani radio mda huu, wakirusha kipindi toka bungeni.
Kilichonikera nihoja ya kujenga gati ya 13 na 14 pale bandarini dsm.
Cha ajabu ni pale ambapo kunakuwa na hoja inayoongelewa na vyama pinzani na inaonekana kuwa ni nzito na ina umuhimu,MLIMANI RADIO wanakata kwa mda wanapotea hewani.
HII NININI? Kama hawataki UKWELI its better kuacha kurusha matangazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom