Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam(Mlimani) leo wmeandamana kushinikiza uongozi wa Chuo kuwarudisha wenzao waliofukuzwa chuo. Wanafunzi hao huku wakiimba nyimbo mbalimbali za kumsifu baba wa taifa walilalamikia hatua ya chuo hicho kuwafukuza wenzao wakisema hawataingia madarasani mpaka wenzao warudishwe.
Mkuu wa chuo hicho huku akijiumauma kwa kusema siri za chuo mara zaidi ya mbili alisisitiza msimamo wao wa kutowarudisha wanafunzi hao. Je nini kitaendela??
Chanzo: Ughaibuni.com
Mkuu wa chuo hicho huku akijiumauma kwa kusema siri za chuo mara zaidi ya mbili alisisitiza msimamo wao wa kutowarudisha wanafunzi hao. Je nini kitaendela??
Chanzo: Ughaibuni.com
Last edited by a moderator: